MATUKIO YA MKUTANO WA 39 WA WAKUU WA NCHI ZA SADC – DAR ES SALAAM, TANZANIA
RAIS WA AFRIKA KUSINI CYRIL RAMAPHOSA ATEMBELEA MAKABURI YA WAPIGANIA UHURU WA ANC MAZIMBU – MOROGORO
RAIS DKT MAGUFULI NA RAIS WA AFRIKA KUSINI RAMAPHOSA WASHIRIKI MKUTANO WA WAFANYABIASHA WA TANZANIA NA AFRIKA KUSINI JIJINI DAR ES SALAAM
PROF KABUDI: TUENDELEE KUSHIKAMANA KUJENGA JUMUIYA IMARA KWA MASLAHI YA WANANCHI WETU
Mwenyekiti Mpya wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, Prof. Palamagamba Kabudi amezitaka Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuendelea kushikamana katika Umoja na Mshikamano baina yao ili kujenga Uchumi imara na kuleta Maendeleo ya wananchi wake. Akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa nafasi …
Soma zaidi »PROFESA KABUDI AKAGUA PIKIPIKI ZA KUONGOZEA MISAFARA YA VIONGOIZI WAKUU WA NCHI ZA SADC MKUTANONI
UINGEREZA YAAHIDI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA
Uingereza imeihakikishia Tanzania kuwa itaendelea kuwa mshirika wake katika masuala mbalimbali ya ubia wa maendeleo ikiwa ni pamoja na kuhamasisha wawekezaji wengi kutoka Uingereza kuwekeza Tanzania kama moja ya hatua za kuiunga mkono Serikali ya Awamu ya Tano ili iweze kufikia azma yake ya kuwa nchi ya uchumi wa kati …
Soma zaidi »PROF.KABUDI ASHIRIKI MKUTANO WA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA MADOLA
Tanzania imeshiriki mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Madola ambao umelenga kujadili utekelezaji wa maazimio na vipaumbele vya nchi wanachama wa Jumuiya hiyo ikiwemo masuala ya utawala bora,usalama,biashara pamoja na namna kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi na utunzaji wa mazingira. Akichangia katika majadiliano juu ya …
Soma zaidi »KATIBU MKUU JUMUIYA YA MADOLA AFANYA MAZUNGUMZO NA PROF. KABUDI LONDON,UINGEREZA
Jumuiya ya Madola imeonesha kuridhishwa na namna Tanzania inavyotekeleza mageuzi ya kiuchumi,uwajibikaji na uawala bora kwa wananchi wake jambo ambalo jumuiya hiyo inalihimiza na kulisimamia kwa Nchi wanachama wake. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Bi Patricia Scotland wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo …
Soma zaidi »PROF KABUDI ZIARANI FALME ZA KIARABU
Tanzania na Nchi ya Falme za Kiarabu zimekubaliana kuendelea kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na kiuchumi ikiwa ni pamoja na kushirikiana katika masuala ya usalama wa eneo la Ghuba na bahari ya Hindi pia kusaidia kuimarisha hali ya usalama katika nchi za Somalia na Sudan. Hayo yamebainika wakati wa ziara ya …
Soma zaidi »