Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa akipatiwa zawadi ya picha na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa mara baada ya kutembelea kambi ya Mazimbu mjini Morogoro mapema leo Agosti 16, 2019 ambapo wapiganaji wa ANC walikuwa wakikaa na kupatiwa mafunzo na serikali ya Tanzania.

RAIS WA AFRIKA KUSINI CYRIL RAMAPHOSA ATEMBELEA MAKABURI YA WAPIGANIA UHURU WA ANC MAZIMBU – MOROGORO

7-01
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa akipatiwa zawadi ya picha na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa mara baada ya kutembelea kambi ya Mazimbu mjini Morogoro mapema leo Agosti 16, 2019 ambapo wapiganaji wa ANC walikuwa wakikaa na kupatiwa mafunzo na serikali ya Tanzania.
6-01
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe (kushoto) wakimsikiliza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa (hayupo pichani) akihutubia hafla ya kumkaribisha Rais Ramaphosa kutembelea kambi ya Mazimbu mjini Morogoro mapema leo Agosti 16, 2019 ambapo wapiganaji wa ANC walikuwa wakikaa na kupatiwa mafunzo na serikali ya Tanzania.
5-01
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa (kulia) na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Palamagamba Kabudi (kushoto) pamoja na Waziri wa Utalii wa Afrika Kusini Mmamoloko Kubayi-Ngubane wakimsikiliza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa (hayupo pichani) akihutubia hafla ya kumkaribisha Rais Ramaphosa kutembelea kambi ya Mazimbu mjini Morogoro mapema leo Agosti 16, 2019 ambapo wapiganaji wa ANC walikuwa wakikaa na kupatiwa mafunzo na serikali ya Tanzania.
4-01
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa akizungumza wakati wa hafla ya kumkaribisha Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa mara baada ya kutembelea kambi ya Mazimbu mjini Morogoro mapema leo Agosti 16, 2019 ambapo wapiganaji wa ANC walikuwa wakikaa na kupatiwa mafunzo na serikali ya Tanzania. Ziara ya Ramaphosa inakuja siku chache kabla ya Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa SADC utakaofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
3-01
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa akizungumza machache mara baada ya kutembea makaburi ya wapiganaji wa ANC walikuwa wakikaa na kupatiwa mafunzo na serikali ya Tanzania.
8-01
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Palamagamba Kabudi akizungumza wakati wa hafla ya kumkaribisha Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa mara baada ya kutembelea kambi ya Mazimbu mjini Morogoro mapema leo Agosti 16, 2019 ambapo wapiganaji wa ANC walikuwa wakikaa na kupatiwa mafunzo na serikali ya Tanzania. Ziara ya Ramaphosa inakuja siku chache kabla ya Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa SADC utakaofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
2-01
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa (kushoto) na mke wa Rais wa Afrika Kusini wakati wa hafla ya kumkaribisha Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa mara baada ya kutembelea kambi ya Mazimbu mjini Morogoro mapema leo Agosti 16, 2019 ambapo wapiganaji wa ANC walikuwa wakikaa na kupatiwa mafunzo na serikali ya Tanzania. Ziara ya Ramaphosa inakuja siku chache kabla ya Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa SADC utakaofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
1-01
Wageni waalikwa wakifuatilia hotuba za viongozi.
Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI MKUU AKIWA NA WABUNGE MBALIMBALI BUNGENI MJINI DODOMA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *