Rais Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa wenyeviti 3 watakaoongoza bodi za taasisi 2 za Serikali na 1 ya ubia wa Serikali na Sekta Binafsi. Kwanza, Mhe. Rais Magufuli amemteua Bw. Gabriel Pascal Malata kuwa Mwenyekiti na Mjumbe wa kuiwakilisha Serikali katika Bodi ya Kampuni ya Airtel Tanzania Ltd. …
Soma zaidi »DIPLOMASIA YA TANZANIA YAZIDI KUIMARIKA
Mara kadhaa tumekua tukiona Rais Dkt. John Magufuli akiwaapisha mabalozi wateule ambao wanakwenda kuiwakilisha Tanzania kwenye mataifa mbalimbali ulimwenguni. Katika miaka mitano ya uongozi wake, Rais Magufuli ameteua jumla ya mabalozi 42 na Mabalozi wadogo watatu hivyo kuifanya Tanzania kuwa na jumla ya wawakilishi 45 kati ya mataifa 195 yanayotambuliwa …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO WA MABALOZI 9 WANAOWAKILISHA NCHI ZAO HAPA NCHINI
LIVE: RAIS MAGUFULI AKIPOKEA HATI ZA UTAMBULISHO WA MABALOZI – IKULU DSM
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anapokea hati za utambulisho wa Ubalozi kutoka katika Mabalozi wateule tisa (9) walioteuliwa na kuziwakilisha Nchi zao hapa Nchini. Wanaowasilisha ni pamoja na -: 1. Mhe. Maria Amelia Mario De Paiva – Balozi mteule wa Ureno nchini mwenye makazi …
Soma zaidi »NENDENI MKACHAPE KAZI KWA UADILIFU NA KUTANGULIZA MASLAHI YA TANZANIA – RAIS MAGUFULI
Rais Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 27 Januari, 2020 amewaapisha Mawaziri 2 na Mabalozi 3 aliowateua hivi Karibuni. Mawaziri walioapishwa ni George Boniface Mwataguluvala Simbachawene aliyeapishwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mussa Azzan Zungu aliyeapishwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na …
Soma zaidi »MAGUFULI ASHUHUDIA UTIAJI SAINI WA MAKUBALIANO YA KUENDESHA KWA PAMOJA UCHIMBAJI WA MADINI KATI YA SERIKALI NA KAMPUNI YA BARRICK
LIVE:RAIS MAGUFULI KATIKA UTIAJI SAINI MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI NA KAMPUNI YA MADINI YA BARRICK
LIVE:KIKAO CHA MWENYEKITI WA CCM ,VIONGOZI NA WATENDAJI WA CHAMA NA JUMUIYA ZAKE ZA MIKOA NA WILAYA
RAIS MAGUFULI AKASIRISHWA NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI NA JESHI LA ZIMAMOTO
Rais Dkt. John Magufuli amesikitishwa na kitendo cha viongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kutia saini makubaliano ya zabuni ya kununua vifaa vya zimamoto na uokoaji vyenye thamani ya Euro Milioni 408.5 (sawa na zaidi ya shilingi Trilioni 1) kutoka kampuni …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI ALITAKA JESHI LA MAGEREZA KUJITATHIMINI
Rais Dkt. John Magufuli amelitaka Jeshi la Magereza Nchini kutathimini utendaji kazi wake kutokana na mwenendo usioridhisha wa jeshi hilo katika kutekeleza miradi mbalimbali inayopewa na Serikali. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Nyumba za Makazi ya Maafisa na Askari wa Jeshi hilo, leo (Alhamisi Januari 23, 2020) Ukonga Jijini …
Soma zaidi »