Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Desemba, 2018 ameagiza kurejeshwa kwa utaratibu wa ulipaji wa mafao ya wafanyakazi wanaostaafu uliokuwa ukitumika kabla ya kuunganishwa kwa mifuko ya hifadhi ya jamii, na ametaka utaratibu huo utumike mpaka mwaka 2023 wakati wadau wakijadiliana …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA NDEGE MPYA YA AIRBUS 220 – 300 (DODOMA) ILIYONUNULIWA NA SERIKALI YA TANZANIA
LIVE: HAFLA YA MAPOKEZI YA NDEGE MPYA YA AIRBUS A220-300
AMIRI JESHI MKUU RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGA KOZI YA MAAFISA NA WAKAGUZI WA JESHI LA POLISI
“SERIKALI YETU INATUJALI NA KUTUPENDA SANA” – DIAMOND PLATNUMZ
Afanya mahojiano na waandishi wa habari jijini Nairobi. Azungumzia tatizo lililotokea katika onesho la Mwanza na kukiri kuwa yeye na wasanii wenzake walikosea na serikali imewasikiliza na kuwasamehe. Aeleza taratibu walizoelekezwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kumaliza kosa walilofanya na namna wanavyolitekeleza. Sasa Wasafi Festival 2018 kuendelea …
Soma zaidi »LIVE: HAFLA YA UWEKAJI JIWE LA MSINGI KATIKA MRADI WA UJENZI WA DARAJA JIPYA LA SALENDER KUTOKA ENEO LA AGAKHAN HADI COCO BEACH
Bofya link hii kutazama https://youtu.be/-PgICwE4JWo Pia unaweza kubofya link hii; Fuatilia pia kupitia Radio ChanyA+ link👇👇 http://myradiostream.com/mobile/MatokeochanyAtz 24|07 #MATAGA
Soma zaidi »MIMI JUKUMU LANGU NI KUFANYA KAZI – RAIS DKT. MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 19 Desemba, 2018 ameweka jiwe la msingi la upanuzi wa barabara ya Morogoro Jijini Dar es Salaam katika sehemu ya kuanzia Kimara hadi Kibaha yenye urefu wa Kilometa 19.2. Upanuzi huo utahusisha kuongeza njia za magari …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AUNGANA WAUMINI WA DINI NYA KIISLAMU KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA BAKWATA
Rangi ya njano inawakilisha madini yote, sio dhahabu pekee yake – Rais Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amefuta mara moja maelekezo ya barua yenye kumbukumbu namba CHA.56/193/02/16 ya tarehe 23 Novemba, 2018 iliyoandikwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (Baada ya kupokea maelekezo ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi) kwenda kwa Wakuu …
Soma zaidi »