Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amefungua maktaba mpya, kubwa na ya kisasa ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam iliyojengwa katika Kampasi Mlimani (Mwl. Julius K. Nyerere) Jijini Dar es Salaam. Maktaba hiyo kubwa Afrika Mashariki na Kati imejengwa kwa gharama ya shilingi …
Soma zaidi »LOWASSA: Mhe.Rais Asante kwa Kazi Nzuri
LIVE;RAIS MAGUFULI KATIKA UFUNGUZI WA MAKTABA YA KISASA UDSM
JIJI LA DODOMA, ARUSHA VINARA UKUSANYAJI WA MAPATO YA NDANI
Halmashauri ya Jiji la Dodoma na Arusha zimeibuka vinara katika ukusanyaji wa mapato ya ndani kwa robo ya kwanza ya mwaka wa Fedha 2018/19. Hayo yamebainishwa leo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo wakati wa kutoa taarifa ya ukusanyaji …
Soma zaidi »Tumieni Sheria Kulinda Vyanzo vya Maji – MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameutaka Uongozi wa mkoa wa Manyara kutumia sheria za mazingira kulinda vyanzo vya maji. Makamu wa Rais ameyasema hayo leo mjini Babati akiwa kwenye ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za kimaendeleo. “Tumieni sheria ya mazingira inayotaka …
Soma zaidi »BENKI YA DUNIA IMERIDHIA KUTOA DOLA ZA MAREKANI MILION 300
Benki ya Dunia imeridhia kutoa Dola za Marekani Milioni 300 sawa na shilingi Bilioni 680.5 kwa Tanzania kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa kuongeza ubora wa elimu ya sekondari unaokusudiwa kujenga vyumba vya madarasa, mabweni, maabara, nyumba za watumishi na kununua vifaa vya kufundishia. Makamu wa Rais wa Benki …
Soma zaidi »LIVE: RAIS MAGUFULI AHUDHURIA MISA YA KUMUAGA MAMA MERCY ANNA MENGI
https://youtu.be/S1g2YQRYjPY
Soma zaidi »LIVE KUTOKA IKULU: RAIS MAGUFULI AKUTANA NA TIMU YA WATAALAMU WA MATIBABU YA MOYO
#MATAGA
Soma zaidi »BALOZI MPYA WA KUWAIT NCHINI AJITAMBULISHA KWA MAKAMU WA RAIS JIJINI DODOMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Balozi mpya wa Kuwait nchini Mhe. Mubarak Mohammed Faleh ALSEHAIJAN aliyefika ofisini kwa Makamu wa Rais Kilimani jijini Dodoma kwa lengo la kujitambulisha.
Soma zaidi »BARRICK GOLD CORPORATION YASALIMU AMRI KWA SERIKALI YA TANZANIA
Yakubali kampuni yake ya Acacia ilifanya makosa katika kuendesha shughuli zake nchini. Ni baada ya kubainika kwa wizi wa madini katika makinikia na serikali kuzuia makontena yote bandarini, Mkuu wa Barrick alijitokeza na kuomba suluhu wayamalize. Baada ya siku chache, timu ya viongozi waandamizi na wanasheria wa Barrick, walifika nchini …
Soma zaidi »