Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan tayari amewasili kwenye kanisa la Pentekoste Motomoto Jimbo la Tanganyika mkoani Kigoma kushuhudia kusimikwa kwa Askofu Mkuu Msaidizi na Maaskofu wa Majimbo.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI UNA SIFA KUU 5 AMBAZO HAKUNA KIONGOZI AFRIKA ANAZO – Mpina
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhanga Joelson Mpina amesema Rais Magufuli ni Rais pekee Barani Afrika na mwenye sifa muhimu tano ambazo hakuna kiongozi barani humu anazo. “Mheshimiwa Rais, mimi nataka niseme ya moyoni.. na kwa sababu niko hapa Simiyu leo; kwamba wewe umevunja rekodi katika dunia hii na …
Soma zaidi »LIVE: Rais Magufuli Anahutubia Mkutano wa Hadhara Kwenye Viwanja Shule ya Msingi Sarunda Mkoani Simiyu – Tarehe 8 Septemba 2018
Live: Rais Magufuli akihutubia wananchi wa Busega mkoani Simiyu
Fuatilia kupitia link hii #SisiNiTanzaniaMpyA+
Soma zaidi »Wimbo Kutoka kwa Msanii Wakitanzania “Rais Magufuli ni Jembe.”
“Makao makuu (TAKUKURU) TOKA toka mwezi wa 4 hadi wa 9, Hawajashughulika! Ninaona mkurugenzi Mkuu akae pembeni, Akafanye kazi nyingine.’ – RAIS MAGUFULI
“Mtu amenunua Musoma Hotel hashughuliki.. Kila kandarasi hamalizi.. Waziri Mkuu akapita hapa.. Mara. Akitoa maagizo kwenye chombo cha PCCB.. – TAKUKURU shughulikia hili. Mkuu wa TAKUKURU wa mkoa wa Mara akalishughulikia. Akalimaliza mwezi wa nne (Aprili 2018)! Akalipeleka Makao Makuu (Makao Makuu ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa …
Soma zaidi »LIVE: Fuatilia Matangazo Ya Moja Kwa Moja Rais Magufuli anazungumza na Wananchi Tarime – Tarehe 7 septemba 2018
Rais Magufuli anazungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara katika viwanja vya chuo Ualimu
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AKIWA KATIKA ZIARA MKOANI MARA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa shilingi milioni moja Nyambura Nyamarasa ambaye alikuwa na kero ya kulishiwa na shamba lake na mfugaji mmoja huko Mugumu Serengeti mkoani Mara.
Soma zaidi »LIVE: Rais Magufuli Akizungumza na Wananchi Barabarani Nyamongo – Tarehe 7 Septemba 2018
Tani Zaidi ya 7,000 Za Reli Zawasili Bandari ya Dar Es Salaam
Zimeshaanza kupakuliwa kutoka kwenye meli Kazi ya kuzipakua itachukua siku 7 zitaanza kufungwa katika malaruma mwezi huu huu Septemba 2018 Ujenzi wa Reli ya mwendo kazi kipande cha Dar – Morogoro kukamilika mapema zaidi ya muda uliokisiwa maana #SisiNiTanzaniaMpyA+.. inayopata Matokeo ChanyA+ 110% katika kila nyanja ya kukuza na kujenga …
Soma zaidi »