RAIS MAGUFULI UNA SIFA KUU 5 AMBAZO HAKUNA KIONGOZI AFRIKA ANAZO – Mpina

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhanga Joelson Mpina amesema Rais Magufuli ni Rais pekee Barani Afrika na mwenye sifa muhimu tano ambazo hakuna kiongozi barani humu anazo.

“Mheshimiwa Rais, mimi nataka niseme ya moyoni.. na kwa sababu niko hapa Simiyu leo; kwamba wewe umevunja rekodi katika dunia hii na Afrika katika kipindi hiki kifupi cha utawala wako wa miaka mitatu (pekee) Kuna mambo mitano ambayo yanakutofautisha sana na marais wengine wa Bara la Afrika. La kwanza.. la kwanza.. katika..mimi nimekuwa mbunge leo naenda mwaka wa kumi na tano. Nimeanza mdogo SANA hata ndevu moja sina. Lakini nimekuwa mbunge wa Bunge la Afrika kwa miaka mitano na experience zingine nyingi. Nimekutana na viongozi wengi wakubwa.. na mikutano mingi mikubwa ya kidunia. Lakini sifa hizi kubwa ni Maraisi wachache wa Bara la Afrika ambao wanazo; Sifa ya kwanza…” – alisema Mhe. Mpina alipokuwa akizungumza katika ziara ya Rais Magufuli mkoani Simiyu.

Ad

07/09/2018

Tazama video hii usikie sifa alizonazo Rais Magufuli ambazo Marais wengi Afrika hawana

#SisiNiTanzaniaMpyA+ yenye kiongozi mzalendo, muadilifu, Mchapakazi na mcha Mungu ili nchi yetu ipate Matokeo ChanyA+ 110% kwenye kila nyanja ya kukuza na kujenga uchumi imara na madhubuti kwa Watanzania wote.

#MATAGA

Ad

Unaweza kuangalia pia

LIVE: UZINDUZI WA MAJENGO YA OFISI YA MANISPAA NA MKUU WA WILAYA KIGAMBONI JIJINI DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *