- Zimeshaanza kupakuliwa kutoka kwenye meli
- Kazi ya kuzipakua itachukua siku 7
- zitaanza kufungwa katika malaruma mwezi huu huu Septemba 2018
- Ujenzi wa Reli ya mwendo kazi kipande cha Dar – Morogoro kukamilika mapema zaidi ya muda uliokisiwa
maana #SisiNiTanzaniaMpyA+.. inayopata Matokeo ChanyA+ 110% katika kila nyanja ya kukuza na kujenga uchumi imara na thabiti kwa Watanzania wote.
#MATAGA