Maktaba Kiungo: Rais

MAANDALIZI YA UZINDUZI WA MFUMO MPYA WA KIDIGITALI WA USAJILI YAKAMILIKA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein atazindua mfumo mpya wa kidigitali wa usajili wa matukio ya kijamii Zanzibar September 4,2018 huko Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kuanzia saa nne asubuhi. Tazama picha za ofisi mpya za Wakala wa Usajili wa …

Soma zaidi »

WATALII 64 WAWASILI DAR KUPITIA RELI YA TAZARA

Watalii 64 kutoka nchini Ujerumani wamewasili Jijini Dar es Salaam leo kupitia reli ya TAZARA wakitokea nchini Afrika ya Kusini kwa kutumia treni maarufu ya kitalii ijulikanayo kama ROVOS ya nchini humo. Watalii hao wamekuja Tanzania kwa ajili ya kutembelea maeneo mbalimbali yenye vivutio vya utalii hapa nchini ikiwemo mbuga …

Soma zaidi »

MATALUMA 1,080 YA RELI MPYA YANAZALISHWA KWA SIKU KIWANDANI SOGA

Katika picha; Mataluma na vifungashio vyake yakiendelea kuzalishwa nchini katika kiwanda kilichopo katika kambi ya ujenzi wa reli ya kisasa-SGR Soga,mkoa wa Pwani, ambapo kiwanda hicho huzalisha mataluma 1080 kwa siku. Kazi ya kutandika mataluma katika tuta la Reli lililojengwa kisasa imeanza tarehe 31 Agosti 2018 na siku chache zijazo …

Soma zaidi »

Ujenzi wa Reli Ya Kisasa ya Umeme; MATARUMA YA YAANZA KUTANDIKWA

• Kazi imeanza ikiwa ni siku nne kabla ya muda rasmi uliopangwa •• Utandikaji umeanzia eneo la Soga Kibaha mkoani Pwani ••• Utandikaji wa Reli kuanza siku chache zijazo •••• Kasi ya uchapaji kazi, ari, kazi ya kukamilisha ujenzi yazidi Usiku na mchana maana #SisiNiTanzaniaMpyA+ yenye kupata Matokeo ChanyA+ katika …

Soma zaidi »