“Mabenki yetu anzisheni utaratibu wa kuweka.. dhamana, kuweka madini ya wananchi.. nunueni dhahabu. Nunueni dhahabu; Ili hawa wananchi badala ya kuhangaika kwenda kwenye minada amabapo wanalaliwa laliwa, aende benki ahifadhi kule.” – Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa “Badala ya kuleta fedha eweke madini yake.. atakuja kuyachukua mwakani nayo yatakuwa yameongezeka thamani. …
Soma zaidi »MATAIFA ZAIDI YA 75 YASHIRIKI KONGAMANO LA MAFUTA NA GESI
Serikali imesema imejipanga vema kuhakikisha sekta ya nishati na hasa ya mafuta na gesi inawanufaisha Watanzania wote na kwamba nchi imefanya maandalizi makubwa kwa ajili ya kunufaika na sekta hiyo. Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira …
Soma zaidi »