WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watalii kutoka Israel wakawe mabalozi wazuri wa kuitangaza Tanzania pindi wakirudi huko kwao. Ametoa wito huo leo mchana (Jumamosi, Aprili 27, 2019) kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro (KIA) wakati akiwaaga watalii 274 walioondoka nchini leo mchana kurejea kwao. Watalii hao ni miongoni mwa watalii …
Soma zaidi »“SERIKALI YETU INATUJALI NA KUTUPENDA SANA” – DIAMOND PLATNUMZ
Afanya mahojiano na waandishi wa habari jijini Nairobi. Azungumzia tatizo lililotokea katika onesho la Mwanza na kukiri kuwa yeye na wasanii wenzake walikosea na serikali imewasikiliza na kuwasamehe. Aeleza taratibu walizoelekezwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kumaliza kosa walilofanya na namna wanavyolitekeleza. Sasa Wasafi Festival 2018 kuendelea …
Soma zaidi »Rangi ya njano inawakilisha madini yote, sio dhahabu pekee yake – Rais Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amefuta mara moja maelekezo ya barua yenye kumbukumbu namba CHA.56/193/02/16 ya tarehe 23 Novemba, 2018 iliyoandikwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (Baada ya kupokea maelekezo ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi) kwenda kwa Wakuu …
Soma zaidi »TANZANIA YASHINDA TUZO YA UTALII NCHINI URUSI
Tanzania imeshinda tuzo ya utalii kwa kuonekana ni eneo bora zaidi la utalii duniani nchini Urusi kwa mwaka 2018 (The Best Destination to the World in the Category of Exotic Destination 2018). Balozi wa Tanzania nchini Urusi Mhe. Maj. Gen. (Mst). Simon Mumwi atapokea Tuzo hiyo kutoka Jarida la …
Soma zaidi »TANZANIA; KILELE CHA AFRIKA
#SisiNiTanzaniaMpyA+ ambayo ni kilele cha Afrika. Kinara wa ukombozi wa Afrika. Nchi ya Amani na Utulivu duniani. Nchi iliyodhamiria kupata Matokeo chanyA+ 110% katika kila Nyanja ya kujenga na kukuza uchumi imara na madhubuti wenye manufaa kwa wananchi wake wote. #MATAGA
Soma zaidi »