MAKAMU WA RAIS AIPONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua kwa kuwa mstari wa mbele katika suala zima la kuwainua Wanawake, Vijana na Walemavu ambapo zaidi ya milioni 450 zimetolewa katika makundi hayo ndani ya kipindi cha 2017 – 2018. Makamu …
Soma zaidi »MAWAZIRI UGANDA NA TANZANIA KUJADILI BOMBA LA MAFUTA GHAFI
Kikao cha Nne cha Mawaziri mbalimbali kutoka Uganda na Tanzania wanaohusika na utekelezaji wa mradi wa bomba la Mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda hadi Tanga Tanzania kinatarajiwa kufanyika leo jijini Kampala ambapo Mawaziri hao wanatarajiwa kupata taarifa za majadiliano yaliyokuwa yakifanyika kati ya Timu ya Kitaifa ya Majadiliano (GNT) ya …
Soma zaidi »Nishati ya umeme itasaidia ukuaji wa uchumi wa viwanda – Naibu Waziri Sima
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Sima amezitaka nchi zilizoendelea kutimiza wajibu wao wa kutoa michango ya fedha na kuwezesha upatikanaji wa teknolojia za kisasa kwa nchi zinazoendelea kwa ajili ya kutekeleza miradi ya kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya Tabianchi kwa mujibu wa …
Soma zaidi »LIVE; RAIS MAGUFULI NA WAZIRI MKUU WA MISRI WASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA MRADI WA KUFUA UMEME WA STIEGLER’S GORGE
Serikali na Kampuni ya Arab Constructors ya Misri leo zitatia saini mkataba wa ujenzi wa mradi wa kufua umeme wa Stiegler’s Gorge, utakaozalisha megawatts 2100. Kwa mujibu wa Rais Magufuli, mradi huo utagharimu zaidi ya TZS 6.5tril. Waziri Mkuu wa Misri atahudhuria hafla hiyo. Fuatilia kwa kubofya link hii; …
Soma zaidi »