Hafla ya Makabidhiano Eneo la Ujenzi wa Stiglers Gorge Leo Februari 14, serikali kupitia Wizara ya Nishati, inafanya hafla ya makabidhiano ya eneo la ujenzi wa mradi wa kufua umeme kwa njia ya maji mkoani Rufiji. Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Waziri mwenyeji wa Nishati, Dkt Medard Kalemani.
Soma zaidi »PBPA YATAKIWA KUHAKIKISHA KUWA BANDARI ZOTE ZINATUMIKA KUPOKEA NA KUSHUSHA MAFUTA
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani ameitaka Bodi ya Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (PBPA) kuhakikisha kuwa bandari zote nchini zinatumika katika shughuli za kupokea na kushusha mafuta ili kuongeza wigo wa upatikanaji mafuta katika sehemu mbalimbali nchini. Aliyasema hayo jijini Dar es Salaam wakati wa kikao chake …
Soma zaidi »WAFANYABIASHARA WA MAFUTA KUJIUNGA KATIKA UMOJA WA KISEKTA NI HIARI SIYO LAZIMA – KALEMANI
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amesema kamwe Serikali haiwezi kumlazimisha mdau yeyote wa sekta ya mafuta nchini kujiunga na Chama, Jumuiya au Umoja wowote wa kisekta kwani hilo ni suala la hiyari kwa kila mmoja. Badala yake, Waziri Kalemani, ameushauri uongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Mafuta Tanzania (Tanzania …
Soma zaidi »WANANCHI WA IGANDO WAANZA KUPATA HUDUMA YA UMEME
Wananchi katika Kijiji cha Igando, wilayani Chato, mkoa wa Geita, wameanza kupata huduma ya umeme kupitia mradi wa Usambazaji Umeme Vijijini wa Awamu ya Tatu (REAIII) unaotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani ndiye aliyewasha rasmi umeme katika …
Soma zaidi »WACHIMBAJI WADOGO KUFIKISHIWA UMEME KWENYE MASHIMO YAO
Wachimbaji wadogo mkoani Geita wanatarajiwa kufikishiwa Umeme katika mashimo yao ili kuwawezesha kufanya shughuli zao za uchimbaji kwa ufanisi mkubwa. Hayo yalisemwa na Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani wakati akizungumza katika mkutano wa hadhara kwenye kijiji cha Imwelu kilichopo wilaya ya Chato mkoani Geita. Alisema kuwa Serikali inatambua mchango …
Soma zaidi »