- Hafla ya Makabidhiano Eneo la Ujenzi wa Stiglers Gorge Leo Februari 14, serikali kupitia Wizara ya Nishati, inafanya hafla ya makabidhiano ya eneo la ujenzi wa mradi wa kufua umeme kwa njia ya maji mkoani Rufiji. Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Waziri mwenyeji wa Nishati, Dkt Medard Kalemani.
Tags MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI
Unaweza kuangalia pia
TPDC YAOKOA TRILIONI 12.7 KUAGIZA MAFUTA NJE YA NCHI
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) katika kipindi cha miaka minne ya Uongozi wa …