Maktaba Kiungo: WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

MIRADI 1,659 YA MAJI YAKAMILIKA

Huduma za Maji Mijini na Vijijini: Miradi 65 imekamilika na kufanya jumla ya miradi yote iliyokamilika kufikia 1,659 na vituo vya kuchotea maji kuongezeka hadi 131,370 na kuhudumia wananchi 25,359,290. Upatikanaji wa huduma za maji Jijini Dar es Salaam umefikia asilimia 85, katika mikoa mingine asilimia 80, miji midogo asilimia …

Soma zaidi »

WAZIRI WA FEDHA – UJENZI WA SGR UNAENDELEA VIZURI KAMA ULIVYOPANGWA

Waziri Fedha na MIpango Dr Philip Mpango amesema Ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Standard Gauge: Ujenzi wa kipande cha Dar es Salaam – Morogoro (km 300) unaendelea vizuri kama ilivyopangwa, ambapo shughuli zinazoendelea ni ujenzi wa madaraja, makalavati, daraja lenye urefu wa km 2.54 katikati ya jiji …

Soma zaidi »

UJENZI WA RELI YA KISASA DAR ES SALAAM – MOROGORO WAKAMILIKA KWA ASLIMIA 42

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa Serikali imedhamiria kwa dhati kukamilisha mradi mkubwa wa Reli kwa kiwango cha Kimataifa (SGR), ambapo tayari kiasi cha zaidi ya shilingi trilioni 2 kimetolewa mpaka sasa kwa ajili ya ujenzi huo. Dkt. Kijaji ametoa kauli hiyo baada ya kutembelea …

Soma zaidi »

SERIKALI YAZIPIGA JEKI HALMASHAURI 12 KUTEKELEZA MIRADI YA KIMKAKATI YA SHILINGI BILIONI 137

Serikali, kupitia Wizara ya Fedha na Mipango, imezipatia Halmashauri 12 nchini ruzuku ya shilingi bilioni 137 kwa ajili ya kutekeleza Miradi 15 ya kimkakati, yenye lengo kuhakikisha Halmashauri zinaongeza mapato ya ndani  na kupunguza utegemezi wa kibajeti kutoka Serikali Kuu. Hafla ya uwekaji wa saini mikataba ya ruzuku hiyo umefanyika …

Soma zaidi »