Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mashirika ya Umma imesema Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) haliwezi kufutwa tena kutokana na mwenendo wa sasa kuridhisha kutokana na utendaji wake na kubadili mtazamo wa awali. Kubadili kwa mtazamo huo kunatokana na mwenendo wa awali kutoridhisha katika utendaji wake hali iliyopelekea baadhi …
Soma zaidi »BUNGE LARIDHIA MKATABA WA UANZISHWAJI USHIRIKIANO WA KIMATAIFA WA NISHATI JUA
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia Mkataba wa kuanzishwa kwa Ushirikiano wa Kimataifa wa Nishati ya Jua (ISA), katika Mkutano wake wa Kumi na Saba, Novemba 14, 2019 Dodoma. Awali, akiwasilisha Azimio la Bunge kwa ajili ya kuridhia Mkataba huo, Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani alieleza kuwa …
Soma zaidi »KAMATI YA BUNGE YATOA MAONI KUHUSU MKATABA WA UMEME JUA
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, wametoa maoni mbalimbali kwa Wizara ya Nishati, kuhusu kuanzishwa kwa ushirikiano wa Kimataifa wa Nishati ya Jua (ISA). Walitoa maoni hayo Dodoma, Novemba 12, 2019 wakiwa ni sehemu ya wadau wa sekta husika ili kuboresha Mkataba huo kabla haujawasilishwa …
Soma zaidi »LIVE: KUTOKA BUNGENI – MASWALI NA MAJIBU
NAIBU KATIBU MKUU KAILIMA ATEMBELEA MAKAZI MAPYA YA ASKARI SHINYANGA
WAZIRI MKUU AZINDUA MFUMO WA UENDESHAJI BUNGE KIDIGITALI
LIVE: KUTOKA BUNGENI KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU
SERIKALI KUWEZESHA WAKALA WA MBEGU ZA KILIMO (ASA) KUONGEZA UZALISHAJI WA MBEGU BORA NA KUIMARISHA SOKO LA ZAO LA NAZI
Upatikanaji wa mbegu bora zikiwemo za mahindi ngano, maharage, mpunga, soya, alizeti, mtama, ufuta, viazi mviringo na mbegu za mazao ya bustani kwa msimu wa 2018/19 ulifikia tani 49,040 kati ya hizo tani 38,507 sawa na asilimia 78.6 zilizalishwa nchini na tani 8,361 sawa na asilimia 17 ziliagizwa nje ya …
Soma zaidi »SERIKALI YAKAMILISHA MCHAKATO WA KUWASOMESHA WATAALAM 100 WA KILIMO ISRAEL
Serikali imekamilisha zoezi la kuwapeleka wataalam 100 wa kilimo nchini Israel kujifunza mbinu bora na teknolojia za kisasa za kuendeleza kilimo cha umwagiliaji nchini. Akiongea na wataalam hao wakati wa hafla ya kuwaaga jana jioni, Jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika …
Soma zaidi »