BUNGE LARIDHIA MKATABA WA UANZISHWAJI USHIRIKIANO WA KIMATAIFA WA NISHATI JUA

  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia Mkataba wa kuanzishwa kwa Ushirikiano wa Kimataifa wa Nishati ya Jua (ISA), katika Mkutano wake wa Kumi na Saba, Novemba 14, 2019 Dodoma.
  • Awali, akiwasilisha Azimio la Bunge kwa ajili ya kuridhia Mkataba huo, Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani alieleza kuwa Bunge linaombwa kuridhia Mkataba husika, kwakuwa, kutokana na Mkataba huo, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itapata faida mbalimbali ikiwemo kuimarika kwa upatikanaji wa nishati ya umeme nchini.
  • “Upatikanaji wa umeme nchini utaimarika hususan katika maeneo ya vijijini ambao utachochea ukuaji wa shughuli za kiuchumi na hatimaye kukuza vipato vya wananchi.”
  • Waziri alitaja faida nyingine kuwa ni kuongezeka kwa matumizi ya nishati safi na bora nchini hivyo kupunguza uchafuzi wa mazingira kutokana na uwepo wa hewa ukaa.
  • Nyingine ni kukua kwa teknolojia hasa ya umeme jua nchini, kuongezeka kwa utaalamu na ujuzi kwa Watanzania kunakotokana na fursa za mafunzo pamoja na kuimarika kwa uwekezaji katika miradi ya nishati ya jua hususan kutoka sekta binafsi.
  • “Pia, kuimarika kwa mahusiano ya kidiplomasia na kibiashara kati ya Tanzania na nchi nyingine zinazotekeleza Mkataba wa ISA,” alisema Waziri.
  • Aidha, Waziri Kalemani alisema kuwa, Tanzania imeamua kushirikiana na nchi nyingine duniani, hususan zilizopo katika Ukanda wa Tropiki ya Kansa na Kaprikoni ambazo zinapata nishati ya jua kwa wingi kuendeleza tafiti na matumizi ya nishati ya jua ikiwemo umeme.
  • Alisema Mkataba wa ISA unahamasisha nchi wanachama kushirikiana katika utafiti, uendelezaji na utumiaji wa rasilimali mbalimbali za nishati ikiwemo nishati ya jua katika kuzalisha umeme.
  • Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilisaini Mkataba wa ISA mjini Marrakech, Morocco Novemba, 2016.
  • Hatua ya Bunge kuridhia Mkataba huo, kunaipa Tanzania hadhi ya kutambulika kuwa Mwanachama wa ISA, japokuwa inaelezwa kuwa, hiyo ni baada ya kuwasilisha rasmi Hati husika ya Kuridhia kwa Mhifadhi ambaye ni Serikali ya Jamhuri ya India.
  • Kabla ya kuwasilisha Mkataba huo kwa Bunge kwa ajili ya kuridhia, hatua mbalimbali zilipitiwa ikiwa ni pamoja na kuwasilisha kwa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini pamoja na kupokea maoni ya wadau. Hafsa Omar – Dodoma
Ad

Unaweza kuangalia pia

MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA

8 Maoni

  1. Yassine Bounou https://yassine-bounou.prostoprosport-ar.com also known as Bono, is a Moroccan footballer who plays as a goalkeeper for the Saudi Arabian club Al-Hilal and the Moroccan national team. On November 10, 2022, he was included in the official application of the Moroccan national team to participate in the matches of the 2022 World Cup in Qatar

  2. The best film magazin https://orbismagazine.com, film industry trade publications in 2024 to keep you informed with the latest video production, filmmaking, photographynews. We create beautiful and magnetic projects.

  3. Kobe Bean Bryant https://kobebryant.prostoprosport-ar.com is an American basketball player who played in the National Basketball Association for twenty seasons for one team, the Los Angeles Lakers. He played as an attacking defender. He was selected in the first round, 13th overall, by the Charlotte Hornets in the 1996 NBA Draft. He won Olympic gold twice as a member of the US national team.

  4. Купити ліхтарики https://bailong-police.com.ua оптом та в роздріб, каталог та прайс-лист, характеристики, відгуки, акції та знижки. Купити ліхтарик онлайн з доставкою. Відмінний вибір ліхтарів: налобні, ручні, тактичні, ультрафіолетові, кемпінгові, карманні за вигідними цінами.

  5. Robert Lewandowski https://robert-lewandowski.prostoprosport-br.com e um futebolista polones, atacante do clube espanhol Barcelona e capitao da selecao polonesa. Considerado um dos melhores atacantes do mundo. Cavaleiro da Cruz do Comandante da Ordem do Renascimento da Polonia.

  6. Mohamed Salah https://mohamed-salah.prostoprosport-cz.org je egyptsky fotbalista, ktery hraje jako utocnik za anglictinu. klub Liverpool a egyptsky narodni tym. Povazovan za jednoho z nejlepsich fotbalistu na svete.

  7. Pedro Gonzalez Lopez https://pedri.prostoprosport-cz.org lepe znamy jako Pedri, je spanelsky fotbalista, ktery hraje jako utocny zaloznik. za Barcelonu a spanelskou reprezentaci. Bronzovy medailista z mistrovstvi Evropy 2020 a zaroven nejlepsi mlady hrac tohoto turnaje.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *