Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi wa Uturuki nchini, Mhe. Ali Davutoglu ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Lengo likiwa ni kuboresha uhusiano kati ya Bunge na Ubalozi huo, pia kujifunza shughuli Mbali mbali zinazofanywa na Bunge la Tanzania.
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2018
LIVE: Fuatilia Matangazo Ya Moja Kwa Moja Rais Magufuli anazungumza na Wananchi Tarime – Tarehe 7 septemba 2018
Rais Magufuli anazungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara katika viwanja vya chuo Ualimu
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AKIWA KATIKA ZIARA MKOANI MARA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa shilingi milioni moja Nyambura Nyamarasa ambaye alikuwa na kero ya kulishiwa na shamba lake na mfugaji mmoja huko Mugumu Serengeti mkoani Mara.
Soma zaidi »LIVE: Rais Magufuli Akizungumza na Wananchi Barabarani Nyamongo – Tarehe 7 Septemba 2018
LIVE: Wizara ya Maji Waingia Makubaliano na Benki ya Dunia (World Bank)
LIVE: Fuatilia Mubashara Kinachoendelea Bungeni Dodoma – Mkutano wa 12, Kikao Cha Nne Tarehe 7 Septemba 2018
Bunge la Tanzania: MKUTANO WA KUMI NA MBILI, KIKAO CHA NNE. SEPTEMBA 7, 2018. MASWALI NA MAJIBU.
Soma zaidi »Tani Zaidi ya 7,000 Za Reli Zawasili Bandari ya Dar Es Salaam
Zimeshaanza kupakuliwa kutoka kwenye meli Kazi ya kuzipakua itachukua siku 7 zitaanza kufungwa katika malaruma mwezi huu huu Septemba 2018 Ujenzi wa Reli ya mwendo kazi kipande cha Dar – Morogoro kukamilika mapema zaidi ya muda uliokisiwa maana #SisiNiTanzaniaMpyA+.. inayopata Matokeo ChanyA+ 110% katika kila nyanja ya kukuza na kujenga …
Soma zaidi »MWENYEZI MUNGU AMLINDE NA AMJAALIE AFYA NJEMA RAIS MAGUFULI – MZEE MSEKWA
“Mwenyeji Mungu amjaalie Afya njema..ili aendelee kuijenga nchi yetu.., kuiongoza nchi yetu kwa miaka kumi; Isingekuwa juhudi zako Nyerere.., Taifa letu lingekuwa wapi.. Tutataka kumuimbia Rais Magufuli, Isingekuwa juhudi za Magufuli.. haya yangetoka wapi..” – Mzee Pius Msekwa, Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 05/09/2018 Ikulu …
Soma zaidi »Meli yenye jumla ya tani 7,250 za Reli kwa ajili ya Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) imeshusha mzigo Bandarini Dar – Tarehe 5 Septemba 2018.
Live Rais Magufuli: Azungumza na Wananchi katika Mkutano wa Hadhara Serengeti Mkoa wa Mara – Tarehe 6 Septemba 2018
#NiSisiSisi Watanzania #MATAGA
Soma zaidi »