MWENYEZI MUNGU AMLINDE NA AMJAALIE AFYA NJEMA RAIS MAGUFULI – MZEE MSEKWA

“Mwenyeji Mungu amjaalie Afya njema..ili aendelee kuijenga nchi yetu.., kuiongoza nchi yetu kwa miaka kumi; Isingekuwa juhudi zako Nyerere.., Taifa letu lingekuwa wapi.. Tutataka kumuimbia Rais Magufuli, Isingekuwa juhudi za Magufuli.. haya yangetoka wapi..” – Mzee Pius Msekwa, Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

05/09/2018

Ikulu ndogo- Ukerewe

#SisiNiTanzaniaMpyA+

#MATAGA

Unaweza kuangalia pia

RAIS MAGUFULI AIPONGEZA MAHAKAMA NA WADAU KWA MAFANIKIO MAKUBWA

Rais  Dkt. John  Magufuli ameipongeza Mahakama na wadau wake kwa hatua kubwa za kimaendeleo zilizopigwa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.