World Bank

Rais Samia ameshukuru Bi Kwakwa ambaye alifika kuaga rasmi, kwa ushirikiano aliouonyesha kwa Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayeshughulikia Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika Bi. Victoria Kwakwa, tarehe 17 Machi 2025, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.

Soma zaidi »

CREDIT SUISSE BANK: TUTAENDELEA KUIKOPESHA TANZANIA KWA KUWA INAKOPESHEKA NA MAHILI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI

Benki ya Credit Suisse ya Uingereza imeahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania katika kuikopesha Tanzania ili kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo baada kuridhishwa na uaminifu wa urejeshaji mikopo kwa wakati pamoja na ubora wa viwango vya miradi inayotekelezwa nchini. Ahadi hiyo imetolewa Mjini Washington D.C nchini Marekani na Mkurugenzi wa Masoko …

Soma zaidi »

BENKI YA DUNIA KUTOA MKOPO NA MSAADA WA SHILINGI TRILIONI 4 KWA AJILI YA KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO

Benki ya Dunia imeahidi kuipatia Tanzania mkopo wenye masharti nafuu na msaada wenye thamani ya dola za Marekani bilioni 1.7 sawa na takriban shilingi trilioni 4 kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika kipindi cha mwaka wa fedha 2019/2020. Ahadi hiyo imetolewa mjini Washington …

Soma zaidi »