Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua tangi la maji wakati alipoweka jiwe la msingi la Mradi wa Maji wa Luyehe katika kijiji cha Muungano Zomba kwenye jimbo la Peramiho wilayani Songea, Januari 3, 2019. Kulia ni Naibu Waziri wa Maji, Juma Aweso. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI LUYEHELA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipanda juu tangi la Maji ili kujiridhisha kuhusu ubora wake wakati alipoweka jiwe la msingi la Mradi wa Maji wa Luyehela katika kijiji cha Muungano Zomba kwenye jimbo la Peramiho wilayani Songea, Januari 3, 2019
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsaidia kubeba ndoo ya maji, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, ikiwa ni ishara ya kuzindua kituo cha kuchotea maji katika kijiji cha Lugagala wilayani Songea, Januari 3, 2019. Wapili kushoto ni Waziri wa Maji, Juma Aweso na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia baada ya kumsaidia kubeba ndoo ya maji, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, ikiwa ni ishara ya kuzindua kituo cha kuchotea maji katika kijiji cha Lugagala wilayani Songea, Januari 3, 2019. Wapili kushoto ni Waziri wa Maji, Juma Aweso na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsaidia kubeba ndoo ya maji, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, ikiwa ni ishara ya kuzindua kituo cha kuchotea maji katika kijiji cha Lugagala wilayani Songea, Januari 3, 2019. Wapili kushoto ni Waziri wa Maji, Juma Aweso na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme.
Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI MKUU AMPONGEZA BONDIA SALIM MTANGO ALIYESHINDA MKANDA WA DUNIA WA UBO

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *