Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameshuhudia utiaji saini wa makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na kampuni ya Bharti Airtel ya India juu ya umiliki wa hisa za kampuni Airtel Tanzania na maslahi mengine ya Tanzania kutokana na biashara ya kampuni hiyo. Hafla ya utiaji saini makubaliano hayo imefanyika Ikulu …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: January 15, 2019
Rais Magufuli: Vijiji na vitongoji vilivyopo katika maeneo ya hifadhi visiondolewe
Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameagiza kusitishwa mara moja kwa zoezi la kuviondoa vijiji na vitongoji vinavyodaiwa kuwepo katika maeneo ya hifadhi na amewataka viongozi wa wizara zote zinazohusika kukutana ili kubainisha na kuanza mchakato wa kurasimisha maeneo ya vijiji na vitongoji hivyo. Mhe. Rais Magufuli ametoa agizo hilo Ikulu …
Soma zaidi »LIVE CATCH UP: IKULU.. UTIAJI SAINI WA KAMPUNI YA BHARTI AIRTEL NA SERIKALI!
LATE LIVE:BODI YA MIKOPO YATAMBULISHA MFUMO MPYA
LATE LIVE: NAIBU GAVANA AZUNGUMZA
MAABARA YA VINASABA VYA WANYAMA KUANZISHWA ARUSHA
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Kanda ya Kaskazini – Arusha, ipo mbioni kuanzisha Maabara maalum Vinasaba vya wanyama ambayo itasaidia kutambua asili ya mnyama ikiwemo wanyama waliopo ama waliokufa. Akizungumza wakati wa ziara maalum ya Maafisa Uhusiano waliotembelea Kanda hiyo leo, Meneja Kanda ya Kaskazini Christopher Anyango …
Soma zaidi »