TTCL

TTCL YASAINI MKATABA WA ZAIDI YA SH. BILIONI TANO

Na Chalila Kibuda,Michuzi TV Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe ameliagiza Shirika la Mawasiliano Nchini (TTCL) kubuni teknolojia ya gharama nafuu itakayowawezesha kuyafikia maeneo kiuchumi. Kamwelwe ameyasema  hayo baada ya kushuhudia zoezi la utiaji saini wa kupeleka mawasiliano vijijini kati ya Mfuko wa Mawasiliano kwa wote na …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AIAGIZA UCSAF KUIWEZESHA MIUNDOMBINU YA MAWASILIANO TTCL

Rais Dkt. John Magufuli ameitaka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kutoa kipaumbele katika uwekezaji wa miundombinu ya mawasiliano kwa Kampuni ya Mawasiliano Nchini (TTCL) ili liweze kumiliki idadi kubwa ya minara ya mawasiliano ya simu  na kumudu ushindani wa soko la mawasiliano …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI ATOA SIKU 30 KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WAKUU WA SERIKALI KUTUMIA HUDUMA ZA KAMPUNI YA TTCL

Rais Dkt.John Magufuli siku 30 Ofisi ya Rais-IKULU, Ofisi ya Makamu wa Rais, Ofisi ya Waziri Mkuu, Wizara pamoja na Viongozi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma,kutum kutumia huduma za Kampuni ya Mawasiliano ya Simu Nchini (TTCL)ikiwemo laini, ili kupanua huduma za mawasiliano ya Mtandao wa Kampuni hiyo nchini. …

Soma zaidi »