RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WATATU Matokeo ChanyA+ January 16, 2019 IKULU, MAWASILIANO IKULU, Taarifa Vyombo vya Habari, Taarifa ya Habari, Tanzania MpyA+ Acha maoni 1,112 Imeonekana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Korea hapa nchini Mhe. Cho Tae-ick .Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Malawi hapa nchini Mhe. Glad Chembe Munthali Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Shirikisho la Jamhuri ya Brazil hapa nchini Mhe. Antonio Augusto Martin Cesar. Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Korea hapa nchini Mhe. Cho Tae-ick mara baada ya kupokea Hati zake za Utambuliso Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi mteule wa Shirikisho la Jamhuri ya Brazil hapa nchini Mhe. Antonio Augusto Martin Cesar kabla ya kupokea Hati zake za utambulisho Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Brazil hapa nchini Mhe. Antonio Augusto Martin Cesar mara baada ya kupokea Hati zake za utambulisho. Ikulu Jijini Dar es Salaam. Balozi Mteule wa Jamhuri ya Korea hapa nchini Mhe. Cho Tae-ick akiandika katika kitabu cha wageni kabla ya kuwasilisha hati zake za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli. Ikulu jijini Dar es Salaam. Balozi Mteule wa Malawi hapa nchini Mhe. Glad Chembe Munthali akiandika katika kitabu cha wageni kabla ya kuwasilisha hati zake za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli. Ikulu jijini Dar es Salaam. Balozi Muleteer wa Shirikisho la Jamhuri ya Brazil hapa nchini Mhe. Antonio Augusto Martin Cesar akiandika katika kitabu cha wageni kabla ya kuwasilisha hati zake za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli. Ikulu jijini Dar es Salaam. Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest