Maktaba ya Kila Siku: May 31, 2019
MAONESHO YA ELIMU YA UFUNDI NA MAFUNZO YAFANYIKA KWA MARA YA KWANZA
Na Lilian Lundo – Dodoma. Baraza la Taifa la Elimu na Ufundi (NACTE) kwa kushirikiana na Vyuo na Taasisi za Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa mara ya kwanza limeandaa Maonesho ya Elimu ya Ufundi na Mafunzo ambayo yamefanyika Jijini Dodoma tarehe 27 hadi 30 Mei, katika uwanja wa Jamhuri. …
Soma zaidi »BEI YA PAMBA NI SH. 1,200 KWA KILO – WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema ana imani kuwa ununuzi wa zao la pamba utaanza mara moja kwa bei ya sh. 1,200 kwa kilo moja katika mikoa yote inayozalisha zao hilo. Amefikia uamuzi huo baada ya kuwepo kwa sintofahamu ya bei kwa takriban ya wiki nne tangu bei elekezi ilipotangazwa Aprili …
Soma zaidi »SERIKALI KUJA NA MBINU YA KUKABILIANA NA UGONJWA WA MNYAUKO WA MIGOMBA – NAIBU WAZIRI BASHUNGWA
Kwa kipindi cha Mwaka 2006 – 2014, Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na Uongozi wa Mkoa wa Kagera umetoa mafunzo ya kutokomeza ugonjwa wa mnyauko wa migomba kwa wakulima na maafisa ugani kwenye wilaya zote zilizoathirika. Serikali imekuwa ikiendesha kampeni ya kung’oa migomba yote iliyoathirika, kukata Ua Dume na kuiteketeza. Halmashauri …
Soma zaidi »