Maktaba ya Kila Siku: September 3, 2019

SERIKALI KUSOMESHA MADAKTARI BINGWA 365 KWA AJILI YA KUSAMBAZWA MAENEO YENYE UHABA

  Jumla ya madaktari bingwa 365 wanatarajia kuhitimu mafunzo kuanzia mwaka wa wasomo 2019/2020, 2020/2021 na 2021/2022 ambao watasambazwa kwenye hospitali mbalimbali nchini kulingana na uwiano wa wataalamu waliopo pamoja na kuzingatia maeneo yenye uhaba mkubwa. Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile …

Soma zaidi »

SERIKALI YARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA DARAJA LA MAGARA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga, ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa Daraja la Magara lenye urefu wa mita 84 na barabara za maingilio KM 4. Katibu Mkuu Mwakalinga, amesema kuwa daraja hilo linajengwa na mkandarasi M/s China Railway Seventh Group kwa …

Soma zaidi »

MKUTANO WA TUME YA USHIRIKIANO WA TANZANIA NA UGANDA WAANZA DAR ES SALAAM

  Mkutano wa tatu wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Uganda, umeanza leo Septemba 3, 2019 jijini Dar es Salaam. Mkutano huo wa siku tatu pamoja na mambo mengine, unatarajiwa kupokea taarifa ya Wizara ya Nishati ya Tanzania kuhusu utekelezaji wa makubaliano ya Mkutano …

Soma zaidi »