Maktaba ya Kila Siku: September 21, 2019

WAZIRI KALEMANI AKUTANA NA WAZALISHAJI BINAFSI WA UMEME NCHINI

Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani, amekutana na wazalishaji binafsi wa umeme nchini na kujadiliana masuala mbalimbali ya kuboresha zaidi sekta hiyo, ikiwa ni mwendelezo wa kutekeleza kwa vitendo azma ya serikali kutambua mchango wao na kuwawezesha. Mkutano huo ulifanyika Septemba 19 jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa pia na …

Soma zaidi »

MSIMU UJAO KOROSHO KUNUNULIWA KWA KUJISAJILI KUPITIA MFUMO WA ATMIS – WAZIRI HASUNGA

  Serikali imetangaza ununuzi wa korosho wa msimu mpya  unaohusisha teknolojia ya wanunuzi kujisajili kwenye Bodi ya Korosho kupitia mfumo wa Wizara ya Kilimo wa kusimamia Biashara za Kilimo (Agricultural Trade Management Informataion System – ATMIS). Imeeleza pia kuhusu deni la korosho msimu uliopita inalodaiwa na wakulima wakubwa kuwa shilingi …

Soma zaidi »