Maktaba ya Kila Siku: September 4, 2019

BUNGE LAWAALIKA WADAU KUTOA MAONI JUU YA MAAZIMIO YALIYOWASILISHWA NA SERIKALI

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzana linawaalika Wadau kutoa maoni kuhusu Maazimio yaliyowasilishwa na Serikali kwa Mheshimiwa Spika kabla Maazimio hayajaridhiwa na Bunge katika Mkutano wa Kumi na Sita (16) unaoendelea Jijini Dodoma. Maazimio hayo yameelekezwa kwenye Kamati zifuatazo;- Mosi, Tarehe 05 Septemba, 2019 Kamati ya Kudumu ya Bunge …

Soma zaidi »

TUTAFANYA MABADILIKO MAKUBWA KWENYE SEKTA YA KILIMO – WAZIRI HASUNGA

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) amesema kuwa serikali YA Tanzania imejipanga kuikabili sekta ya kilimo ikiwa ni pamoja na kuona umuhimu wa kuwaandaa watanzania katika kubadilisha kilimo chao kutoka kwenye kilimo cha kujikimu na kuwa kilimo cha kibiashara. Waziri Hasunga ameyasema hayo leo tarehe 3 Septemba 2019 wakati …

Soma zaidi »