Wafanyabiashara zaidi ya 1683 wanatarajiwa kihudhuria katika kongamano la kibiashara la nchi ya nchi mbili, Tanzania na Uganda litakalofanyka katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Mkutano huo wa wafanyabiashara zaidi ya 1056 wa Tanzania na wauganda 426 utafunguliwa kesho Septemba 6, 2019 na Rais wa …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: September 5, 2019
LIVE BUNGE: MUSWADA WA SHERIA YA MAREKEBISHO YA SHERIA MBALIMBALI WA MWAKA 2019
https://youtu.be/fCjmCmtlP18
Soma zaidi »UJENZI WA GATI JIPYA WASHIKA KASI BANDARI YA DSM
Ujenzi wa Gati jipya unazidi kushika kasi katika Bandari ya Dar Es Salaam, ambapo kwa sasa Mkandarasi anaendelea na kazi ya kujenga eneo la kupokelea mizigo kama inavyoonekana kwenye picha.
Soma zaidi »