Maktaba ya Kila Siku: October 1, 2019

SERIKALI YATENGA BILIONI 65 ZA KUJENGA MINARA YA MAWASILIANO

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetenga shilingi bilioni 65 kwa ajili ya kujenga minara ya mawasiliano kwenye maeneo mbali mbali nchini ili kuongeza upatikanaji wa huduma za mawasiliano kwa lengo la kukuza uchumi na kufanikisha utoaji wa huduma za Serikali kwa wananchi, wananchi waweze kuwasiliana wenyewe kwa wenyewe, …

Soma zaidi »

WAKANDARASI WA UMEME VIJIJINI WAAGIZWA KUMALIZA KAZI DISEMBA 31

Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani, ameagiza kuwa wakandarasi wa umeme vijijini wenye mikataba wahakikishe kuwa wanamaliza kazi za usambazaji umeme vijijini ifikapo tarehe 31 Disemba mwaka huu. Dkt Medard Kalemani aliyasema hayo hivi karibuni wakati wa kikao chake na Wafanyakazi, Menejimenti na Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) …

Soma zaidi »

SERIKALI YAWATAKA MADIWANI KUTOA MAJINA YA MITAA

Serikali imewataka Madiwani wote nchi nzima kutoa majina ya mitaa ili kufanikisha utekelezaji wa mpango wa anwani za makazi na postikodi Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye wakati akifungua mafunzo ya kujenga uelewa kuhusu umuhimu na manufaa ya kutekeleza mpango wa anwani za makazi …

Soma zaidi »

VIWANDA VYA NDANI VYAPONGEZWA KWA KUWA NA UWEZO WA KUONGEZA THAMANI KOROSHO YA TANZANIA

Viwanda vya ndani nchini vimepongezwa kwa kuwa na uwezo wa kuongeza thamani korosho ya Tanzania tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli alipotangaza uamuzi wa Serikali kununua korosho zote za wakulima tarehe 12 Novemba, 2018. Hayo yamesemwa na Prof. Joseph Buchweishaija, Katibu Mkuu Wizara …

Soma zaidi »