Maktaba ya Kila Siku: October 24, 2019

WAZIRI LUKUVI AAGIZA WANANCHI WOTE KULIPWA FIDIA AMBAO BADO HAJALIPWA

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi ameziagiza Halmashauri za Miji pamoja na watu wenye mashamba makubwa wahakikishe wanawalipa fidia Wananchi wote ambao hawajalipwa kwa muda mrefu tangu kufanyika kwa tathmini kwani wananchi wengi wamekuwa wakiishi ndani ya mashamba yao kwa muda mrefu na wakiamishwa hawalipwi …

Soma zaidi »

WAZIRI JAFO AZITAKA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KUWATUMIA IPASAVYO WATAALAM SEKTA YA MAENDELEO YA JAMII

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Suleiman Jafo ameagiza Wizara yake kuhakikisha wataalam wa sekta ya maendeleo ya jamii wanapewa jukumu la kusimamia kazi  ya  Bima ya Afya ya Jamii (CHF) Iliyoboreshwa katika ngazi ya Mkoa na Halmashauri kwa kuwa ndio wenye utaalam …

Soma zaidi »

MATUMIZI YA TEHAMA YAMEIMARISHA USALAMA WA TAARIFA NA HUDUMA ZA SERIKALI

Sera ya Taifa ya TEHAMA ya mwaka 2003, pamoja na mambo mengine inasisitiza juu ya Serikali kutumia fursa za TEHAMA katika utendaji kazi wa kila siku na utoaji huduma kwa wananchi. Katika kutekeleza sera hiyo, mwaka 2004 Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma (OR-MUU) ilianza kuchukua hatua mbalimbali …

Soma zaidi »

KASI YA WAKANDARASI MIRADI YA UMEME VIJIJINI TANGA YAIRIDHISHA BODI

Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REB) imekiri kuridhishwa na kasi ya utendaji kazi wa wakandarasi Derm Electrics (T) Ltd na JV Radi Services Ltd, Njarita Contractors Ltd & Aguila Contractors Ltd; wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini mkoani Tanga. Akizungumza na waandishi wa habari mkoani humo, Oktoba 23, …

Soma zaidi »