Maktaba ya Mwezi: October 2019
LIVE: RAIS DKT. MAGUFULI AKIWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI. IKULU JIJINI DSM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli awaapisha Viongozi aliowateua hivi karibuni. Hafla inayofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 20, 2019
Soma zaidi »NEEMA YA GESI ASILIA YANUKIA MIKOANI
Wizara ya Nishati (Tanzania) na Shirika la Maendeleo la Japani (JICA), Oktoba 17, 2019 walikutana katika ofisi za Wizara zilizopo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma na kujadili Mkakati wa kufikisha gesi asilia katika mikoa mbalimbali nchini. Kikao hicho, kilichoongozwa na Kamishna wa Petroli na Gesi, Adam Zuberi, kilihudhuriwa pia …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU MAJALIWA AKAGUA SKIMU YA UMWAGILIAJI YA KIWALALA KATIKA HALMASHAURI YA MTAMA
WAZIRI MKUU MAJALIWA AKAGUA MAANDALIZI YA OFISI ZA MUDA ZA HALMASHAURI YA MTAMA
WATOTO MILIONI 8 KUPATIWA CHANJO YA SURUA-RUBELLA
Inakadiriwa watoto wapatao 8,028,838 wenye umri wa miezi tisa hadi umri wa chini ya miaka mitano (miezi 59) wanatarajiwa kupatiwa chanjo ya Surua-Rubella kwenye kampeni shirikishi ya chanjo itakayotolewa nchi nzima. Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoro Ummy Mwalimu wakati akizindua kampeni …
Soma zaidi »SHIRIKISHO LA JAMHURI YA UJERUMANI LIMETOA MSAADA WA EURO MIL 8 KUBORESHA TEKNOLOJIA YA TEHAMA KATIKA MFUKO WA BIMA WA NHIF
Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani limetoa msaada wa Euro milioni 8 ambazo ni sawa na shilingi Bilioni 20 kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwaajili ya kuboresha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika mfuko wa Bima ya Afya nchini NHIF. Akizungumza Jijini Dar es Salaam katika hafla …
Soma zaidi »BALOZI KAIRUKI AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA VIETNAM
LIVE: RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MASASI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli ambaye ameongozana na Mkewe Mama Janeth Magufuli tarehe 16 Oktoba, 2019 anaendelea na ziara yake Nachingwea na Masasi
Soma zaidi »WAZIRI WA NISHATI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI ZA TANESCO CHATO, GEITA
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa ofisi za Tanesco katika Wilaya ya Chato na Wilaya ya Geita, Mkoa wa Geita zitakazokuwa na hadhi ya kimkoa ya Kitanesco. Hafla hiyo iliyofanyika tarehe 15 Oktoba, 2019 katika Kitongoji cha Mlimani, wilayani Chato ilihudhuriwa na viongozi …
Soma zaidi »