Maktaba ya Mwezi: October 2019

WATOTO MILIONI 8 KUPATIWA CHANJO YA SURUA-RUBELLA

Inakadiriwa watoto wapatao 8,028,838 wenye umri wa miezi tisa hadi umri wa chini ya miaka mitano (miezi 59) wanatarajiwa kupatiwa chanjo ya Surua-Rubella kwenye kampeni shirikishi ya chanjo itakayotolewa nchi nzima. Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoro Ummy Mwalimu wakati akizindua kampeni …

Soma zaidi »

SHIRIKISHO LA JAMHURI YA UJERUMANI LIMETOA MSAADA WA EURO MIL 8 KUBORESHA TEKNOLOJIA YA TEHAMA KATIKA MFUKO WA BIMA WA NHIF

Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani limetoa msaada wa Euro milioni 8 ambazo ni sawa na shilingi Bilioni 20 kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwaajili ya kuboresha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika mfuko wa Bima ya Afya nchini NHIF. Akizungumza Jijini Dar es Salaam katika hafla …

Soma zaidi »

WAZIRI WA NISHATI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI ZA TANESCO CHATO, GEITA

Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa ofisi za Tanesco katika Wilaya ya Chato na Wilaya ya Geita, Mkoa wa Geita zitakazokuwa na hadhi ya kimkoa ya Kitanesco. Hafla hiyo iliyofanyika tarehe 15 Oktoba, 2019 katika Kitongoji cha Mlimani, wilayani Chato ilihudhuriwa na viongozi …

Soma zaidi »