Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya sherehe za miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara na miaka 57 ya Jamhuri zinazotarajiwa kufanyika Kitaifa mkoani Mwanza. Akizungumza na waandishi wa habari Mkuu wa Mkoa huo Mhe. John Mongella amesema …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2019
MADIWANI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOROGORO WAFANYA ZIARA YA KUJIFUNZA NAMNA YA UKUSANYAJI MAPATO KATIKA HALMASHAURI YA KINONDONI.
Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro jana walifanya ziara ya kujifunza namna ya ukusanyaji mapato katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Madiwani hao waliokuwa wameambata na Mkuu wa Wilaya hiyo Mh. Regina Chonjo, Mstahiki Meya Amir Nondo wamepokelewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Aron Kagurumjuli, Mstahiki …
Soma zaidi »TANTRADE YASAIDIA KAMPUNI 31,891 KUPATA TAARIFA ZA BEI YA MASOKO NA BIDHAA
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) katika kipindi cha miaka minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano imefanikiwa kuziunganisha kampuni 31,891 kuweza kupata taarifa za bei na masoko ya bidhaa za ndani na nje ya nchi. Hayo yamebainishwa leo Jumatano (Novemba 27, 2019) Jijini Dar es Salaam …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AKAGUA MIRADI WA NYUMBA ZA NSSF, ZILIZOPO TUANGOMA KATIKA WILAYA YA KIGAMBONI, JIJINI DAR ES SALAAM
WAZIRI SIMBACHAWENE AZITAKA HALMASHAURI KUTOA ELIMU YA KUHIMILI MABADILIKO YA TABIANCHI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu waRais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene ametoa wito kwa halmashauri zote kuwa na mipango kabambe inayotekelezeka kwa ajili ya kuhakikisha elimu ya kilimo kinachohimili mabadiliko ya tabianchi inawafikia wakulima katika maeneo yao. Pia amezitaka kuwajengea uwezo maafisa ugani kutekeleza jukumu hili muhimu pamoja …
Soma zaidi »BENKI YA BIASHARA NA MAENDELEO MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA YAAHIDI KUTOA FEDHA UJENZI WA RELI YA KISASA
Rais na Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara na Maendeleo Mashariki na Kusini mwa Afrika (TDB) Dkt. Admassu Tadesse ameipongeza Serikali ya Tanzania kwa kutekeleza mradi mkubwa wa ujenzi wa Reli ya Kati kwa Kiwango cha Kimataifa (SGR) kwa kutumia fedha zake za ndani na kuahidi kuwa Benki yake itafanya …
Soma zaidi »LIVE CATCH UP:RAIS DKT. MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI AKIWA NJIANI KUELEKEA KAHAMA – SHINYANGA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi mbalimbali waliomsubiri njiani akilekea Mkoani Shinyanga
Soma zaidi »LIVE: RAIS DKT SHEIN KATIKA UZINDUZI WA SAFARI ZA BOTI YA KISASA YA KILIMANJARO VII
RAIS WA BENKI YA BIASHARA NA MAENDELEO AIPONGEZA TANZANIA KWA KUJENGA RELI YA KISASA
Rais na Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara na Maendeleo Mashariki na Kusini mwa Afrika (TDB) Dkt. Admassu Tadesse ameipongeza Serikali ya Tanzania kwa kutekeleza mradi mkubwa wa ujenzi wa Reli ya Kati kwa Kiwango cha Kimataifa (SGR) kwa kutumia fedha zake za ndani na kuahidi kuwa Benki yake itafanya …
Soma zaidi »DC CHONGOLO AKABIDHI MADARASA, OFISI ZA WALIMU KATIKA SHULE YA SEKONDARI TWIGA NA KIGOGO
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo amekabidhi madarasa sita na ofisi tatu za walimu katika Shule ya Sekondari Kigogo iliyopo kwenye Kata hiyo pamoja na Shule ya Sekondari Twiga iliyopo Kata ya Wazo ikiwa ni sehemu ya mkakati wake wakuhakikisha kuwa hakuna mwanafunzi anakosa nafasi ya kusoma kwa …
Soma zaidi »