Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni leo tarehe 13 Julai, 2019 amefanya Ziara Binafsi ya siku 1 hapa nchini kwa kumtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake katika Kijiji cha Mlimani Wilaya ya Chato Mkoani wa Geita. Mhe. Rais …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2019
UINGEREZA YAAHIDI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA
Uingereza imeihakikishia Tanzania kuwa itaendelea kuwa mshirika wake katika masuala mbalimbali ya ubia wa maendeleo ikiwa ni pamoja na kuhamasisha wawekezaji wengi kutoka Uingereza kuwekeza Tanzania kama moja ya hatua za kuiunga mkono Serikali ya Awamu ya Tano ili iweze kufikia azma yake ya kuwa nchi ya uchumi wa kati …
Soma zaidi »WAKANDARASI TUMIENI VIJANA WANAOMALIZA JKT, KUJENGA MIRADI YA UMEME
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amewashauri wakandarasi nchini kuwatumia vijana wanaomaliza mafunzo katika jeshi la kujenga taifa wenye taaluma na ujuzi mbalimbali ikiwemo sekta ya Nishati ya Umeme. Mgalu alisema idadi kubwa ya vijana wanaohitimu mafunzo ya JKT wanakuwa na nidhamu, pamoja na uzalendo katika kutekeleza majukumu yao kwa …
Soma zaidi »RAIS MUSEVENI KUFANYA ZIARA YA SIKU MOJA NCHINI
Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni kesho Jumamosi tarehe 13 Julai, 2019 atafanya Ziara Binafsi ya siku 1 moja hapa nchini. Mhe. Rais Museveni atamtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kijijini kwake Mlimani katika Wilaya ya Chato Mkoani Geita. Akiwa …
Soma zaidi »WAKAZI WA NGURUKA MKOANI KIGOMA WAANZA KUFURAHIA HUDUMA YA MAJISAFI NA SALAMA
JAFO AONGEZA SIKU 30 UKAMILISHAJI WA HOSPITAL ZA WILAYA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo ametoa siku 30 kwa Halmashauri zote zinazoendelea na ujenzi wa Hospitali za Wilaya kukamilisha kazi zote za Ujenzi ifikapo Julai 30,2019. Jafo ameyasema hayo wakati alipotembelea Hospital ya Wilaya ya Singida inayojengwa katika eneo la …
Soma zaidi »LIVE CATCH UP: RAIS MAGUFULI AWASALIMIA NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI AKITOKEA KARAGWE AKIELEKEA CHATO GEITA
PROF.KABUDI ASHIRIKI MKUTANO WA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA MADOLA
Tanzania imeshiriki mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Madola ambao umelenga kujadili utekelezaji wa maazimio na vipaumbele vya nchi wanachama wa Jumuiya hiyo ikiwemo masuala ya utawala bora,usalama,biashara pamoja na namna kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi na utunzaji wa mazingira. Akichangia katika majadiliano juu ya …
Soma zaidi »MKANDARASI ANAYESAMBAZA UMEME KIBONDO ATAKIWA KUONGEZA KASI
Naibu Waziri wa Nishati,Subira Mgalu,amesema haridhishwi na kasi ya usambazaji wa umeme vijijini inayofanywa na mkandarasi wa Kampuni ya Urban and Rural Engineering Services, wilayani Kibondo mkoani Kigoma. Mgalu ametoa kauli hiyo,kwenye mkutano na wananchi wakati alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya usambazaji wa umeme vijijini wilayani humo na kuwasha …
Soma zaidi »SERIKALI YATOA MILIONI 700 KUSAIDIA KAZI WABUNIFU NCHINI
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha amesema Serikali kupitia Tume ya Tafa ya Sayansi na Teknolojia ( COSTECH) imetoa kiasi cha Tsh Milioni 700 kwa wabunifu 60 ili kuendeleza tafiti na bunifu zao na kuleta tija na manufaa kwa Taifa. Akizungumza leo Jumatano (Julai 10, 2019) …
Soma zaidi »