Maktaba ya Mwaka: 2019

DKT. KALEMANI AELEZA SIRI YA MAFANIKIO YA TANESCO

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ameeleza mambo kadhaa ambayo yamechangia katika mafaniko ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuweza kujiendesha lenyewe pasipo kutegemea ruzuku kutoka serikalini. Akizungumza na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Shinyanga, Juni 29 mwaka huu, muda mfupi kabla ya kutembelea Kijiji cha Mwakitolyo …

Soma zaidi »

JWTZ KUHAKIKI UPYA VIJANA WALIOKIUKA USAJILI WA KUJIUNGA NA JKT

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeamua kufanya upya uhakiki wa kina utaratibu wa kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa vijana wanaojiunga kwa kujitolea baada ya kubaini baadhi yao kufanya udanganyifu wakati wa usaili unaoendelea sasa. Mkurugenzi wa Habari na Mahusiano wa Jeshi Luteni Kanali Gaudence …

Soma zaidi »

MRADI WA MAJI LAMADI WAFIKIA HATUA ZA MWISHO

Serikali imesema imeridhishwa na kasi ya ujenzi wa mradi wa maji wa Lamadi uliopo Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu ambao utekelezaji wake umefikia asilimia 93. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Emmanuel Kalobelo alisema hayo hivi karibuni wakati wa ziara yake kwenye mradi huo. Katika ziara hiyo Mhandisi Kalobelo …

Soma zaidi »