Ukarabati wa kivuko cha MV. Pangani II unatarajiwa kumalizika hivi karibuni. Kivuko hicho kinatarajiwa kuanza kutoa huduma katika mto Pangani kati ya Pangani na Bweni Wilaya ya Pangani mkoani Tanga.Ukarabati wa kivuko cha MV. Pangani II unatarajiwa kumalizika hivi karibuni. Kivuko hicho kinatarajiwa kuanza kutoa huduma katika mto Pangani kati ya Pangani na Bweni Wilaya ya Pangani mkoani Tanga.