MRADI WA MFUMO WA KUTIBU MAJI UMEFIKIA ASILIMIA 80 MKOANI GEITA Matokeo ChanyA+ June 28, 2019 Taarifa Vyombo vya Habari, Taarifa ya Habari, Tanzania MpyA+, Wizara ya Maji Acha maoni 926 Imeonekana Bomba zikishushwa kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa maji wa Same – Mwanga – Korogwe. Bomba zikishushwa kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa maji wa Same – Mwanga – Korogwe. Bomba zikishushwa kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa maji wa Same – Mwanga – Korogwe. Nyang’whale: Mradi wa maji Nyamtukuza, kazi ya kulaza bomba la ukubwa wa inchi 16 (kipenyo) ikiendelea, umbali wa km 44 ambapo bomba limeshalazwa katika km 28. Nyang’whale: Mradi wa maji Nyamtukuza, kazi ya kulaza bomba la ukubwa wa inchi 16 (kipenyo) ikiendelea, umbali wa km 44 ambapo bomba limeshalazwa katika km 28. Mfumo wa kutibu maji katika mradi wa maji wa Imaliabupina – Ichwankima mkoani Geita. Mradi umefikia asilimia 80 ya ujenzi na wananchi katika vijiji 11 watapata huduma ya majisafi,salama na ya kutosheleza. Mfumo wa kutibu maji katika mradi wa maji wa Imaliabupina – Ichwankima mkoani Geita. Mradi umefikia asilimia 80 ya ujenzi na wananchi katika vijiji 11 watapata huduma ya majisafi,salama na ya kutosheleza. Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest