Maktaba ya Mwaka: 2019

ALIYELAZWA MLOGANZILA SIKU 210 ARUHUSIWA

Mtoto Hillary Plasidius mwenye umri wa miaka 8 aliyelazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili -Mloganzila kwa muda wa miezi minane na wiki mbili aruhusiwa huku hospitali ikimsamehe gharama za matibabu na kumpatia msaada wa kiti mwendo (wheelchair). Mtoto Hillary alifikishwa Hospitali ya Mloganzila Oktoba 29 mwaka jana akiwa katika hali mbaya …

Soma zaidi »

UJENZI WA GATI NAMBA MOJA WAKAMILIKA KATIKA BANDARI YA DAR

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amesema ujenzi wa gati namba moja umekamilika kati ya gati nane zinazotarajiwa kujengwa na kuongeza kuwa  ujenzi wa  gati namba mbili utakamilika Julai katikati na litakuwa na urefu wa mita 255. Waziri Kamwele amesema hayo leo katika bandari ya Dar es …

Soma zaidi »

WAZIRI WA AFYA AZINDUA KAMBI YAKUTOA MIGUU BANDIA 600 MOI

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu (MB) leo amefungua kambi maalum ya kupima na kutengeneza miguu bandia zaidi ya 600 kwa watu wenye uhitaji ambao walijiandikisha. Waziri Ummy amesema Kambi hiyo ya utoaji miguu bandia bure inaendeshwa kwa ushirikiano kati ya Taasisi ya …

Soma zaidi »

MUONEKANO WA UJENZI WA MIUNDOMBINU WEZESHI KWENYE UJENZI WA NEW SELANDER BRIDGE

Daraja hilo litajengwa kwa miezi 36 sawa na miaka mitatu, likiwa na urefu wa Kilomita 6.23 huku Kilomita 1.4 zikipita juu ya Bahari. Daraja litalopambwa na nguzo za zege mithili ya viganja vya mikono ya binadamu litaunganisha barabara ya Barack Obama na eneo la Coco Beach katika makutano ya barabara …

Soma zaidi »