
- Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amesema ujenzi wa gati namba moja umekamilika kati ya gati nane zinazotarajiwa kujengwa na kuongeza kuwa ujenzi wa gati namba mbili utakamilika Julai katikati na litakuwa na urefu wa mita 255.
- Waziri Kamwele amesema hayo leo katika bandari ya Dar es salaam wakati akizindua gati namba moja na kuongeza kuwa mradi wa ujenzi wa gati zote utakamilika mwezi wa saba mwaka 2020.
Ad