Mkutano wa 14 wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Nishati la Jumuiya ya Afrika Mashariki, umeanza Juni 3, 2019 jijini Arusha. Akifungua Mkutano huo katika siku ya kwanza ambao unahusisha ngazi ya wataalamu wa sekta husika; Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Fedha na …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2019
TUTAFANYA MAGEUZI KWENYE JUMUIYA ZA HIFADHI ZA WANYAMAPORI – NAIBU WAZIRI KANYASU
Serikali imewahakikishia Wenyeviti wa Muungano wa Jumuiya za Hifadhi za Wanyamapori nchini (WMAs) kuwa itaendelea kufanya mageuzi pamoja na kuwapa ushirikiano kwa kuendeleza dhana halisi ya uhifadhi wa wanyamapori shirikishi katika jamii. Hayo yamebainishwa jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Constantine Kanyasu wakati akizungumza na wenyeviti …
Soma zaidi »KITUO CHA TV CHA HAINAN CHA CHINA KUTENGENEZA KIPINDI MAALUM CHA KUTANGAZA BIDHAA ZA TANZANIA
Kituo cha Television cha Hainan nchini China kimeingia makubaliano na Ubalozi wa Tanzania Beijing kutengeneza kipindi maalum cha kutangaza bidhaa za Tanzania, utamaduni, vyakula na utalii katika soko la China ambapo Kipindi hicho kitatengenezwa Mwezi Julai na kurushwa mwezi Novemba 2019 Makubaliano hayo yamefikiwa Beijing katika mkutano wa Balozi wa …
Soma zaidi »LIVE: KUTOKA BUNGENI, WAZIRI FEDHA NA MIPANGO ANAWASILISHA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA
UJENZI WA BARABARA NJIA SITA KUANZIA KIMARA WAFIKIA ASILIMIA 28
Serikali haijasitisha ujenzi wa barabara ya njia sita kutoka Dar – Chalinze bali ujenzi huo unaendelea kwa awamu na kwasasa ujenzi huo umefikia asilimia 28 kwa awamu ya kutoka Kimara mpaka Kibaha na mkandarasi anaendelea yupo eneo la kazi na analipwa vizuri. Hayo yamesemwa bungeni na Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi …
Soma zaidi »MAONESHO YA KIMATAIFA YA HORTICULTURE YAFANYIKA BEIJING
WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KATIKA SHEREHE ZA KUMWAPISHA RAIS WA MALAWI PROFESA ARTHUR MUTHARIKA
MAONESHO YA ELIMU YA UFUNDI NA MAFUNZO YAFANYIKA KWA MARA YA KWANZA
Na Lilian Lundo – Dodoma. Baraza la Taifa la Elimu na Ufundi (NACTE) kwa kushirikiana na Vyuo na Taasisi za Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa mara ya kwanza limeandaa Maonesho ya Elimu ya Ufundi na Mafunzo ambayo yamefanyika Jijini Dodoma tarehe 27 hadi 30 Mei, katika uwanja wa Jamhuri. …
Soma zaidi »BEI YA PAMBA NI SH. 1,200 KWA KILO – WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema ana imani kuwa ununuzi wa zao la pamba utaanza mara moja kwa bei ya sh. 1,200 kwa kilo moja katika mikoa yote inayozalisha zao hilo. Amefikia uamuzi huo baada ya kuwepo kwa sintofahamu ya bei kwa takriban ya wiki nne tangu bei elekezi ilipotangazwa Aprili …
Soma zaidi »SERIKALI KUJA NA MBINU YA KUKABILIANA NA UGONJWA WA MNYAUKO WA MIGOMBA – NAIBU WAZIRI BASHUNGWA
Kwa kipindi cha Mwaka 2006 – 2014, Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na Uongozi wa Mkoa wa Kagera umetoa mafunzo ya kutokomeza ugonjwa wa mnyauko wa migomba kwa wakulima na maafisa ugani kwenye wilaya zote zilizoathirika. Serikali imekuwa ikiendesha kampeni ya kung’oa migomba yote iliyoathirika, kukata Ua Dume na kuiteketeza. Halmashauri …
Soma zaidi »