UJENZI WA BARABARA NJIA SITA KUANZIA KIMARA WAFIKIA ASILIMIA 28

BR 2-01
Ujenzi wa Barabara ya njia sita Kimara – Kibaha ukien
  • Serikali haijasitisha ujenzi wa barabara ya njia sita kutoka Dar – Chalinze  bali ujenzi huo unaendelea kwa awamu na kwasasa ujenzi huo umefikia asilimia 28 kwa awamu ya kutoka Kimara mpaka Kibaha na mkandarasi anaendelea yupo eneo la kazi na analipwa vizuri.
  • Hayo yamesemwa bungeni na Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawsiliano  Elias Kwandikwa wakati akijibu swali la Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga, lilotaka kujua ni lini serikali itafufua ujenzi wa barabara za njia sita kutoka Dar es salaam mpaka Chalinze mkoani Pwani
  • Naibu waziri Kwandikwa amemtoa hofu Mbunge huyo na wananchi kwa kusema kuwa mradi huo unaendelea kwa awamu kadri serikali itakavyopata pesa za kundeleza ujenzi huo.
Ad

Unaweza kuangalia pia

UKARABATI WA KIVUKO CHA MV. PANGANI II WAKAMILIKA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *