KITUO CHA TV CHA HAINAN CHA CHINA KUTENGENEZA KIPINDI MAALUM CHA KUTANGAZA BIDHAA ZA TANZANIA

tembo
Hifadhi za Taifa
  • Kituo cha Television cha Hainan nchini China kimeingia makubaliano na Ubalozi wa Tanzania Beijing kutengeneza kipindi maalum cha kutangaza bidhaa za Tanzania, utamaduni, vyakula na utalii katika soko la China ambapo Kipindi hicho kitatengenezwa Mwezi Julai na kurushwa mwezi Novemba 2019
CHI 1-01
Balozi Mbelwa Kairuki wa tatu toka kushoto akiwa na wadau wa television hiyo baada ya makubaliano.
  • Makubaliano hayo yamefikiwa Beijing katika mkutano wa Balozi wa Tanzania nchini humo,Mbelwa Kairuki na Mkurugenzi na Mtengenezaji wa Kipindi cha Travel Channel cha Hainan Television Bi Xie Xiao na timu yake. Bi Xiao ameeleza kwamba Televisheni hiyo ina watazamaji milioni 200 nchini China
CHI
Madini ya Tanzania
Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI ZUNGU AHUDHURIA MKUTANO WA 7 WA BARAZA LA KISEKTA LA MAWAZIRI WA MAZINGIRA NA MALIASILI WA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI

             

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *