Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), yatakayofanyika kesho tarehe 31 Mei, 2019 jijini Dar es Salaam. Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Mhandisi Kapuulya Musomba, tarehe 30/5/2019, jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2019
WIZARA YA MAMBO YA NJE YAWASILISHA BAJETI BUNGENI
MAGEUZI YA KISAYANSI YAZAA MATUNDA SEKTA YA MADINI – DKT. ABBASI
Hatua za serikali kuhakikisha Watanzania wananufaika na rasilimali za nchi yao na kuongeza mapato zimeanza kuzaa matunda licha ya kupingwa vikali hapo awali. Akiongea na waandishi wa habari leo Jijini Dar-es-Salaam, Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi, amesema hatua zilizochukuliwa kwenye sekta …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AREJEA NCHINI AKITOKEA AFRIKA KUSINI, NAMIBIA NA ZIMBABWE
Rais Dkt. John Pombe Magufuli, amerejea hapa nchini akitokea nchini Zimbabwe ambako amefanya Ziara Rasmi ya siku 3 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa. Kabla ya kufanya ziara nchini Zimbabwe, Mhe. Rais Magufuli amefanya ziara nchini Afrika Kusini ambako pamoja na kuhudhuria sherehe za uapisho wa …
Soma zaidi »MRADI WA MABORESHO YA USIMAMIZI WA FEDHA ZA UMMA WASHIKA KASI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James amewashukuru Wadau wa Maendeleo kwa kuisaidia Serikali kuimarisha mifumo ya usimamizi wa fedha za umma iliyosaidia kuongeza tija katika ukuaji wa uchumi wa nchi na utoaji huduma bora kwa wananchi Bw. James ametoa shukrani hizo Jijini Dodoma wakati wa …
Soma zaidi »RC RUVUMA AFUNGUA SOKO LA MADINI TUNDURU
SERIKALI KUONDOA VIKWAZO VINAVYOATHIRI UWEKEZAJI NCHINI
Waziri wa Nchini Ofisi ya Waziri Mkuu-Uwekezaji Angellah Kairuki amebainisha mkakati maalum wa serikali kupitia utekelezaji wa BLUE PRINT wenye lengo la kuondoa vikwazo na changamoto zinazozuia ukuaji wa uwekezaji na urahisi wa kufanya biashara nchini. Mkakati huo unapendekeza,pamoja na mambo mengine,marekebisho ya sheria mbalimbali,kuondoa urasimu na uratibu mzuri wa …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA SHADA LA MAUA KATIKA MAKABURI YA MASHUJAA WA ZIMBABWE KATIKA ENEO LA NATIONAL HEROES ACRE WEST WING HARARE
PSSSF YATUMIA BILIONI 880 KULIPA MAFAO
Wanachama elfu kumi wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) wamelipwa takribani Bilioni 880/- ikiwa ni malimbikizo ya Pensheni kwa wastaafu tangu kuanzishwa kwa Mfuko huo mapema mwaka jana. Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dodoma Meneja Kiongozi, Uhusiano wa mfuko huo Bi. Eunice Chiume amesema kuwa dhamira …
Soma zaidi »WAZIRI JAFO AKABIDHI BIL 1.7 RUZUKU KWA VIJANA TOKA USAID
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo amekabidhi hundi za mfano zenye thamani ya Tsh 1,731,038,850 kwa Taasisi tisa za vijana wa Mikoa ya Mbeya, Iringa pamoja na Zanzibar kwenye hafla ya iliyofanyika kwenye viwanja vya Sido Jijini Mbeya. Akizungumza katika hafla …
Soma zaidi »