MAGEUZI YA KISAYANSI YAZAA MATUNDA SEKTA YA MADINI – DKT. ABBASI

 

  • Hatua za serikali kuhakikisha Watanzania wananufaika na rasilimali za nchi yao na kuongeza mapato zimeanza kuzaa matunda licha ya kupingwa vikali hapo awali.
  • Akiongea na waandishi wa habari leo Jijini Dar-es-Salaam, Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi, amesema hatua zilizochukuliwa kwenye sekta ya madini  na kuboresha mifumo ya kukusanya mapato ya serikali imechangia kuongeza mapato maradufu.
  • Akieleza hatua zilizochukuliwa na Serikali ya Awamu ya Tano, Dkt. Abbasi amesema ni pamoja na ujenzi wa ukuta kwenye eneo la migodi ya madini ya Tanzanite Mirerani, kuanzishwa kwa masoko ya madini kwenye mikoa na wilaya nchi nzima na kuundwa kwa mifumo ya kisasa ya kijiditali ya kurekodi mapato ambayo licha ya kuongeza mapato, lakini pia imeongeza ufanisi.
  • Dkt. Abbasi amesema kuwa hadi kufikia mwezi Mei 2019 sekta ya madini kwa kipindi cha miezi kumi na moja ya mwaka wa fedha 2018/19 mapato yamefikia Shilingi bilioni 302.63 kiasi ambacho ni zaidi ya mapato yote kiasi cha Shilingi bilioni 301.6 yaliyopatikana kwenye mwaka wa fedha 2017/18.
  • Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Dkt. Abbasi mapato kwenye sekta ya madini katika kipindi cha miaka minne yamekuwa yakiongezeka mfululizo, akitolea mfano amesema mwaka 2016/17 makusanyo ya maduhuli yalikuwa bilioni 214.5 wakati mwaka 2015/16 maduhuli yalikuwa Shilingi Bilioni 210 na mapatao ya mwaka 2017/18 yalikuwa Shilingi bilioni 301.6
ABBAS
Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt.Hassan Abbasi akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari (hawapo pichani), kuhusu utekelezaji wa Serikali kwenye sekta mbalimbali, katika Mkutano na Waandishi wa Habari uliofanyika Jijini Dar es Salaam, leo Alhamisi 30. Mei. 2019.
  • Aidha, aliongeza kuwa mapato yanayotokana na mauzo ya madini ya Tanzanite tangu ujenzi wa ukuta wa Mirerani ujengwe kuzunguka migodi ya madini hayo mapato yameongezeka maradufu kutoka kiasi cha shilingi milioni 71.8 mwaka 2015 hadi kufikia bilioni 1.43 mwaka 2017.
  • Akieleza mafanikio yaliyopatikana kutokana na uboreshaji wa mifumo ya kukusanya mapato Dkt. Abbasi amesema mifumo hiyo sio tu imeongeza mapato, lakini pia imeongeza ufanisi.
  • “Kabla ya Mfumo wa TTMS Serikali ilikuwa haipati kitu kabisa katika miito ya simu za nje wala kuwa na uwezo wa kuhakiki mapato ya simu za ndani lakini tangu mfumo huo ulipofungwa kwa eneo la mapato ya simu za nje tu Serikali imekwisha kusanya Shilingi bilioni 97.16 ikiwa ni malipo ya kodi zitokanazo na mapato ya kampuni za simu kwa simu kimataifa zinazoingia na kuishia hapa nchini” alifafanua Dkt. Abbasi.
  • Kuhusu ziara ya Rais Magufuli kwenye nchi za Afrika Kusini, Namibia na Zimbabwe Dkt. Abbasi ameeleza ziara hiyo licha ya kuwa na lengo la kuimarisha ushirikiano wa kihistoria, lakini pia ilikuwa na lengo la kutafuta fursa za kibiashara. “Kwenye ziara hiyo Rais Magufuli ameweza kufikia makubaliano ya kuongeza kiwango cha biashara na uwekezaji kwenye sekta ya utalii, usafiri wa anga na miundombinu pia Tanzania imeweza kupata soko la mahindi tani 700,000 nchini Zimbabwe”.
  • Aidha, Dkt. Abbasi amewasihi Watanzania wenye ujuzi wa kufundisha Lugha ya Kiswahili kuitumia vyema fursa ya kufundisha lugha hiyo nchini Afrika Kusini kwa kujisajili kwenye kanzi data ya wataalamu wa Kiswahili Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) ili wapate ithibati na kutambulika rasmi.
  • Kuhusu ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Msemaji Mkuu wa Serikali amewahakikishia Watanzania majadiliano juu ya mradi huo bado yanaendelea na Serikali ya Awamu ya Tano itahakikisha maslahi ya nchi yanawekwa mbele ili wanufaike na rasilimali za nchi yao.

 

 

 

Ad

Unaweza kuangalia pia

KATIBU MKUU DKT. ABBASI ASISITIZA MAGEUZI YA KIUTENDAJI KWA MENEJIMENTI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo, Dkt.Hassan Abbasi amewataka viongozi wa menejimenti wa …

78 Maoni

  1. An exploration of the history of Turin’s https://turin.juventus-fr.org iconic football club – Juventus – its rivalries, success and influence on Italian football.

  2. The story of Kanye West https://the-college-dropout.kanye-west-fr.com, starting with his debut album “The College Dropout,” which changed hip-hop and became his cultural legacy.

  3. The fascinating story of Marcus Rashford’s rise https://manchester-united.marcusrashford-br.com from academy youth to the main striker and captain of Manchester United. Read about his meteoric rise and colorful career.

  4. Follow Bernardo Silva’s impressive career https://manchester-city.bernardosilva.net from his debut at Monaco to to his status as a key player and leader of Manchester City.

  5. Пансионаты для пожилых людей https://moyomesto.ru в Самаре по доступным ценам. Специальные условия по уходу, индивидуальные программы.

  6. Лучшие пансионаты для пожилых людей https://ernst-neizvestniy.ru в Самаре – недорогие дома для престарелых в Самарской области

  7. The incredible story https://napoli.khvichakvaratskhelia-br.com of a young Georgian talent’s transformation into an Italian Serie A star. Khvicha Kvaraeshvili is a rising phenomenon in European football.

  8. Bieber’s https://baby.justinbieber-br.com path to global fame began with his breakthrough success Baby, which became his signature song and one of the most popular music videos of all time.

  9. Anderson Silva https://killer-bees-muay-thai-college.andersonsilva.net was born in 1975 in Curitiba Brazil. From a young age he showed an interest in martial arts, starting to train in karate at the age of 5.

  10. Daniel Alves https://paris-saint-germain.danielalves.net is a name that symbolizes the greatness of the world of football.

  11. Toni Kroos https://real-madrid.tonikroos-ar.com the German midfielder known for his accurate passes and calmness on the field, has achieved remarkable success at one of the most prestigious football clubs in the world.

  12. The story of Leo Messi https://inter-miami.lionelmessi.ae‘s transfer to Inter Miami began long before the official announcement. Rumors about Messi’s possible departure from Barcelona appeared in 2020

  13. Andreson Souza Conceicao https://al-nassr.talisca-ar.com known as Talisca, is one of the brightest stars of modern football.

  14. Harry Kane https://bayern.harry-kane-ar.com one of the most prominent English footballers of his generation, completed his move to German football club Bayern Munich in 2023.

  15. Brazilian footballer Neymar https://al-hilal.neymar-ar.com known for his unique playing style and outstanding achievements in world football, has made a surprise move to Al Hilal Football Club.

  16. Luka Modric https://real-madrid.lukamodric-ar.com can certainly be called one of the outstanding midfielders in modern football.

  17. N’Golo Kante https://al-ittihad.ngolokante-ar.com the French midfielder whose career has embodied perseverance, hard work and skill, has continued his path to success at Al-Ittihad Football Club, based in Saudi Arabia.

  18. Kevin De Bruyne https://manchester-city.kevin-de-bruyne-ar.com is a name every football fan knows today.

  19. Muhammad Al Owais https://al-hilal.mohammed-alowais-ar.com is one of the most prominent names in modern Saudi football. His path to success in Al Hilal team became an example for many young athletes.

  20. Казахский национальный технический университет https://satbayev.university им. К.Сатпаева

  21. Upcoming fantasy MOBA https://bladesofthevoid.com evolved by Web3. Gacha perks, AI and crafting in one swirling solution!

  22. Edson Arantes https://santos.pele-ar.com do Nascimento, known as Pele, was born on October 23, 1940 in Tres Coracoes, Minas Gerais, Brazil.

  23. Brazilian footballer Malcom https://al-hilal.malcom-ar.com (full name Malcom Felipe Silva de Oliveira) achieved great success in Al Hilal, one of the leading football teams in Saudi Arabia and the entire Middle East.

  24. Juventus Football Club https://italy.juventus-ar.com is one of the most successful and decorated clubs in the history of Italian and world football.

  25. Liverpool https://england.liverpool-ar.com holds a special place in the history of football in England.

  26. When Taylor Swift https://shake-it-off.taylor-swift-ar.com released “Shake It Off” in 2014, she had no idea how much the song would impact her life and music career.

  27. Mike Tyson https://american-boxer.mike-tyson-ar.com one of the most famous and influential boxers in history, was born on June 30, 1966 in Brooklyn, New York.

  28. The golf https://arabic.golfclub-ar.com industry in the Arab world is growing rapidly, attracting players from all over the world.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *