Maktaba ya Mwaka: 2019

WANANCHI WILAYANI LUDEWA WAENDELEA KUANZISHA BARABARA ZA VIJIJINI

Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Mh, Edward Haule mei 06/2019 aliongoza Jopo la Viongozi wa kata mbili za Madope na Lupanga pamoja na Wananchi wa Kata hizo kuchimba Barabara ya kuunganisha Vijiji Jirani katika Kata hizo. Barabara hiyo yenye urefu wa zaidi ya kilometa sita licha …

Soma zaidi »

SERIKALI YASISITIZA MARUFUKU YA MATUMIZI YA MIFUKO YA PLASTIKI IFIKAPO JUNI MOSI 2019

  Serikali yasisitiza marukufu ya matumizi ya mifuko ya plastiki ifikapo tarehe 1 Juni 2019 ipo palepale tofauti na inavyopotoshwa na baadhi ya watu wenye nia hovu ya kuleta mkanganyiko miongoni mwa jamii. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Balozi Joseph …

Soma zaidi »

SERIKALI YAIPONGEZA TOTAL KWA KUWEKEZA BILIONI 460

Yasaidia wajasiriamali wadogo kwa kuwatengea sh. milioni 200 kila mwaka Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza kampuni ya TOTAL Tanzania kwa kuwekeza hapa nchini mtaji wa dola za Marekani milioni 200 (sawa na sh. bilioni 460) ndani ya miaka mitatu. Alitoa pongezi hizo  (Alhamisi, Mei 9, 2019) kwenye sherehe za kutimiza …

Soma zaidi »

OCP NA ETG YAAGIZWA KUWA NA MAGHALA YA KUIFADHIA MBOLEA KUFIKIA JULAI 2019

Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imeyaagiza makampuni ya Premium Agrochem, OCP na Export Trading Group (ETG) kuhakikisha kwamba ifikapo Julai, 2019 kampuni hizo ziwe na ghala za kuhifadhia mbolea na mawakala wa kusambaza katika mikoa inayotumia mbolea kwa wingi ukiwemo mkoa wa Katavi ili kuondoa changamoto ya upungufu wa mbolea kwa wakulima katika maeneo …

Soma zaidi »