Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Balozi Mdogo wa China anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Xie Xiaowu, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar.

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UJUMBE WA W.H.O NA MADAKTARI WA KICHINA IKULU ZANZIBAR

ALI 1-01
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiunduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Profesa Robert .C,Spear, wa Chuo Kikuu cha California, alipowasili katika ukumbi wakati wa hafla ya kuzungumza na Ujumbe wa WHO na Madaktari wa Kichina waliosimamia Mradi wa Kupambana na Kichocho Zanzibar.
rais
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Kiongozi wa Ujumbe wa WHO Dr. Dirk Engels, wakati walipofika na Ujumbe wa Madaktari wa Kichina Waliosimamia Mradi wa Kupambana na Kichocho Zanzibar, kushoto kwa Rais Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe. Xie Xiaowu,
RAIS
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Balozi Mdogo wa China anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Xie Xiaowu, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar.
RAIS
R wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa WHO na Madaktari wa Kichina waliosimamia Mradi wa kupambana na Kichocho Zanzibar, waliofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo.10-5-2019.
RAIS
Baadhi ya Madaktari wa Kichina waliosimamia Mradi wa Kupambana na Kichocho Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo,10-5-2019.
Ad

Unaweza kuangalia pia

ZANZIBAR NA ANGOLA KUSHIRIKIANA KWENYE SEKTA YA UTALII

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameupongeza uwamuzi …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *