Maktaba ya Mwaka: 2019
KAZI YA KUSIMIKA MIFUMO NDANI YA TERMINAL III IMEKAMILIKA KWA ASILIMIA 96.8
Tanzania mpya imedhihirishwa na Ujenzi wa Jengo la Tatu la Abiria (Terminal 3) katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Akizungumza na Idara ya Habari Maelezo hivi karibuni Msimamizi wa mradi wa ujenzi wa uwanja huo kutoka Wakala wa Taifa wa Barabara TANROADS, Mhandisi Barton Komba amesema: …
Soma zaidi »HOSPITALI KUBWA YA KIJESHI YA KIWANGO CHA ”LEVEL 4” KUJENGWA MKOANI DODOMA
Serikali ya Shirikisho la Ujerumani kupitia Mpango wa Kusaidia Majeshi Rafiki imekubali kuongeza kipindi cha kutoa misaada kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa miaka 4 zaidi kuanzia mwaka 2021 hadi 2024 ambapo pamoja na mambo mengine itajenga Hospitali kubwa ya Kijeshi yenye kiwango cha “Level 4” …
Soma zaidi »DKT. KALEMANI AITAKA TANESCO KUENDELEZA MIRADI YA UMEME VIJIJINI
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuendelea kusambaza umeme vijijini mara wakandarasi wa umeme vijijini wanapomaliza kazi kwa mujibu wa mkataba. Dkt. Kalemani aliyasema hayo wakati alipofanya ziara ya kukagua kazi ya usambazaji umeme vijijini katika Wilaya za Mpwapwa na Bahi mkoani Dodoma ambapo aliambatana …
Soma zaidi »LIVE: SAFARI YA MWISHO YA DKT MENGI.
SERIKALI YAWALIPA WANANCHI FIDIA BONDE LA MTO RUHILA
Wizara ya Maji imelipa jumla ya Shilingi 1,913,832,491 ikiwa ni fidia kwa wananchi waliokuwa na makazi kando kando ya Bonde la Mto Ruhila ambalo ni chanzo cha maji cha Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Songea (SOUWASA). Wananchi hao wamekuwa wakifuatilia malipo yao kwa miaka 15 iliyopita tangu mwaka …
Soma zaidi »SERIKALI KUWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU UN
Katika kutekeleza ajenda za Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDG’s), Serikali imejipanga kuwasilisha Taarifa ya Mapitio ya Hiari (VNR) katika Jukwaa la Siasa la Umoja wa Mataifa (HLPF) mwezi Julai mwaka huu mjini Newyork nchini Marekani. Hayo yameelezwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango (Sera), Bw. Adolf Ndunguru wakati …
Soma zaidi »MILIONI 700 ZAANZA KUTOA MATOKEO CHANYA KATIKA UKARABATI WA CHUO CHA MAOFISA WA POLISI
TANZANIA YASHIKA NAFASI YA NNE KWA WATU WANAOAMINI UMILIKI WA ARDHI NA MAKAZI UKO SALAMA
Tanzania imeshika nafasi ya nne kati ya nchi tisa za Kusini na Mashariki mwa Afrika zilizofanyiwa utafiti kwa kuwa na asilimia 64 ya watu wanaoamini kuwa hali ya umiliki wa ardhi na makazi ni salama. Hayo yalibainika wakati wa uzinduzi wa Ripoti ya Matokeo ya Utafiti wa Msingi kuhusu Haki …
Soma zaidi »