Maktaba ya Mwaka: 2019
MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA UHOLANZI NA MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI
TEMESA YAFUNGA TAA KUZUNGUKA UKUTA WA MACHIMBO YA MERERANI
LIVE: RAIS DKT. MAGUFULI ANAWASILI MKOANI MBEYA
TANZANIA NA CHINA KUSHIRIKIANA KATIKA SEKTA YA MIUNDOMBINU NA USAFIRISHAJI
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe Isack Kamwele yupo Beijing Nchini China kuhudhuria Mkutano wa Pili wa One Belt, One Road, Mkutano huo amboa umeandaliwa na Rais wa China Mhe Xi Jinping na kuudhuriwa na viongozi kutoka nchi zaidi ya 100 na mashirika ya kimataifa Mkutano huo pia umeudhuriwa …
Soma zaidi »LIVE: ZIARA YA RAIS MAGUFULI MALAWI
• Akizindua soko la tumbaku
Soma zaidi »WIZARA YA KILIMO KUKUZA UZALISHAJI MPUNGA MPAKA TANI MILIONI 4.5 IFIKAPO MWAKA 2030
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe amekitaka kikosi kazi kinachojihusisha na uandaaji wa mpango mkakati wa kuendeleza uzalishaji wa zao la mpunga nchini kuhakikisha kinaanda rasimu itakayowezesha uzalishaji wa zao hilo kukuwa mara mbili zaidi kutoka tani milioni 2.2 hadi kufikia tani 4.5 ifikapo 2030. Akizungumza na wataalam …
Soma zaidi »SERIKALI YATANGAZA AJIRA ZAIDI YA 1,600 NDANI YA UTUMISHI WA UMMA
Serikali ya awamu ya tano imeendelea kutekeleza kwa vitendo ahadi yakeya kutoa fursa za Ajira kwa Watanzania wenye sifa, ujuzi na elimu katikag ngazi mbalimbali kadri ya mahitaji kwa lengo la kuongeza rasilimaliwatue Serikaliniili kuongeza ufanisi katika kuwahudumia wananchi. Kati ya mwezi Machi na Aprili, 2019 zaidi ya nafasi wazi …
Soma zaidi »SERIKALI IMELIPA MALIPO YA AWALI YA SH. BILIONI 688.651 KWENYE MRADI WA MAPOROMOKO YA MTO RUFUJI
Akikabidhi hundi hiyo Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dotto James amesema kwa hivi sasa nchi inajumla ya Mw 1602, hivyo kukamilika kwa mradi wa Rufiji kutaifanya nchi kuwa na umeme mwingi na wa uhakika. Aliongeza mradi huu unagharamiwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano
Soma zaidi »SERIKALI YAKUSANYA KODI YA SH.BILLION 5.5 ZA TAULO ZA KIKE
Sserikali imesema kuwa katika mwaka wa fedha 2016/17 hadi 2017/18 ilikusanya kodi ya ongezeko la thamani(VAT) ya kiasi cha Sh. Bilioni 5.5 kwenye bidhaa ya taulo za kike ‘Sanitary Pads’ zilizoingizwa nchini kabla ya kodi hiyo kuondolewa Juni mwaka jana. Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni na Naibu Waziri wa Fedha …
Soma zaidi »