MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA UHOLANZI NA MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI

MAKAMU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa UNICEF Nchini Bibi. Maniza Sultana Zaman wakati Mwakilishi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Jijini Dar es Salaam April 24, 2019 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa Nchini.
MY-3
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi Mpya wa Uholanzi Nchini Bw. Jeroen Verheul wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam  April 24, 2019 kwa ajili ya kujitambulisha.
MY-4
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi Mpya wa Uholanzi Nchini Bw. Jeroen Verheul wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam April 24, 2019 kwa ajili ya kujitambulisha.

Unaweza kuangalia pia

TANZANIA YATAKA AMANI KUPUNGUZA MZIGO WA WAKIMBIZI AFRIKA

Tanzania imetaka Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kimataifa kuongeza jitihada na nguvu katika kuleta …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.